NHIF wanalipia X-ray na Ultrasound?

NHIF wanalipia X-ray na Ultrasound?

Prince Akeem

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
884
Reaction score
376
Za asubuhi wakuu.

Hivi bima inayotolewa na NHIF ambayo sio green card ninaweza kutumia kupata huduma ya X-ray na ultrasound?

Na kama haiwezekani, ni bei gani?
 
ultra sound ni sh 10000 katika hospital za serikali
 
inawezekana..tena mm nafanyia private hospital...
 
NHIF inalipa kila kitu hata private hospitals zote zinazotumia.
 
Mimi nipo kahama wanasema nilienda kwema hospital wakaniambia huduma za kawaida natumia nhif kama ni utrasound gharama yake 10000 sijui kwa nini wanafanya hivyo
 
NHIF wanalipa ingawa unaweza hutajka ku b approved kama n active member
 
Mimi nipo kahama wanasema nilienda kwema hospital wakaniambia huduma za kawaida natumia nhif kama ni utrasound gharama yake 10000 sijui kwa nini wanafanya hivyo

May be hawajawajulisha bima kama wanafany ultrasound bt inalipiwa kama kawa
 
wanalipa bila tatizo tena kama upo dar nenda regency huduma zao nazikubali sana
 
Back
Top Bottom