NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

Mzee unajua Aghakani wameanza kupokea Bima lini???
NA Kuna Bima ngapi? Ukitoa NHIF?
Pengine hujui kuwa NHIF ndo bima ya walio na kipato cha Chini kuliko zingine..

Imazidiwa na Bima ya Serkali ya SHIB(NSSF)
Nafahamu Chief.
 
DAWA YA MOTO NI MOTO. AGHA KHAN ITAKUFA, wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals. Let’s wait and see who wins.

They actually create a fear vacuum. If you act we act.
Eti AGHA KHAN itakufa?? Unaijua hyo hospital vzur au na ww unashabikia vitu usivyovijua... AGHA KHAN ni dude kubwa
 
they operate isolated. as an institute each. without dependence

sio kweli?? south Africa tu amna. so one the player ila sio major player kama unavyo Dhani
Ila East Africa yote ipo na Asia Nzima ipo..
Na baadhi ya Nchi za ulaya

South africa Sio Kipimo cha Ubora Mkuu
 
Ila East Africa yote ipo na Asia Nzima ipo..
Na baadhi ya Nchi za ulaya

South africa Sio Kipimo cha Ubora Mkuu
Proves they are not major players as you think . They target under developed countries any way . Tena wakipata loss they leave or close the hospitals . Good examples bongo hapa mtwara branch
 
Kaka, tafuta bia bariidi unywe... [emoji736] Huu ndio uhalisia, soon mbinyo utawarudia
 
Ila wamerudi mezani soon Tutapata makubalianp mazuri..
 
Bora wameondolewa wote Ummy na Konga, waliharibu sana NHIF
 
Bora wameondolewa wote Ummy na Konga, waliharibu sana NHIF
Huyo Mkurugenzi wa NHIF si ndio anakwenda kuwa katibu mkuu wizara ya afya?

Hapa sijui mama kama ameelewa alichokifanya au anacheza kamari tu?
 
Huyo Mkurugenzi wa NHIF si ndio anakwenda kuwa katibu mkuu wizara ya afya?

Hapa sijui mama kama ameelewa alichokifanya au anacheza kamari tu?
Sijaona kama anaenda kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…