Benard Konga hana CV wala uzoefu wa kuivusha NHIF kwenye hii recession, Ummy anadanganywa na wataalam pale wizarani, miongozo inatengenezwa kuwatarget watoa huduma binafsi kutokana na wivu wa madaktari walioko wizarani na NHIF kwa wamiliki na madaktari wenzao wanaomiliki vituo binafsi! shida ya NHIF kuelemewa ni kujiingiza kwenye shughuli ambazo sio zake, kuwekeza kwenye miradi isiyolipa kama ya ujenzi, kutoa mikopo ya. hovyo kwa wafanyakazi wake na mipango ya makadirio mibovu. Mfujko unahitaji overall reforms ya uongozi na approach, ondoa Monopoly kwa kuruhusu watu wachague mfuko wa kujiunga tofauti na sasa wafanyakazi wa serikali na mashirika hawana hiari ya kuchangua mfuko, mnakusanya hela zao badala walau zitumike kutibu makundi maalum kama watoto chini ya miaka mitano na wao mmewafutia Toto afya Cards" sasa hizo hela manapeleka wapi na wachangiaji mnawapa huduma mbovu sizioendana na michango?