Nhif utadhan walikuwa usingizini, na hili ndilo shirika pekee la uma lililonaki kufanya dhuruma mbele ya uso wa mama yetu, tunatambua mama ni mpenda haki , tunaomba basi ateue team nje ya bima ifanye utafiti ajue nini kinachoendelea. Kiukweli kuna mgongano mkubwa sana dhidi ya watoahuduma na wakubwa wa nhif, mama kodolea macho shirika hili, dhuruma juu ya dhuruma na mwisho wa siku nikudhoofisha sekta binafsi na kwa ujumla hali ni mbaya sana sana, hospitali zina miezi zaidi ya mitano hazijalipwa. nhif mungu anawaona isee.