Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
CCM hawahusiki hapa.
CCM oyeee!
CCM oyeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nchi hii inaongozwa na mashetaniNgoja nifuatilie
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa chief unataka NHIF iendeshwe kama bima za private. Utakuja lia ndugu, ohoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bima za mashirika binafsi, operation cost mtu akiingia mwenyewe hiyo pesa anayolipia mteja ambaye si mtumishi hataweza kamwe. Mnachoshindwa kutazama ni big picture kwamba NHIF inamembers zaidi ya watumishi ambao mchango wao ni mdogo sana na unatolewa mara moja tu kwa kila mwaka. Ukitaka kusema michango, sasa tuwafukuze hawa wengine. Bima ni cost sharing, wewe kutokuumwa haina maana haitumiki. Sasa kwaunachosema, je wewe unataka bima imsaidie hata mtanzania asiyeajiriwa na anauwezo mdogo au ihudumie watumishi tu. Ndio maana bima hii ikawekwa chini ya serikari maana kama ingebinafsishwa kama nchi ya marekani au nchi zingine haki ya Mungu pesa za kuingia ndani ya bima zingepanda mno tena mno na ingejioperate full kama insurance company usingeamini yatakayokuja kutokea. Maana NHIF haiishii Dar, inafika hadi Rusumo na kijijini uko. Tujifunze kuwaza zaidi ya mtumishi tuWazazi wangu walitangulia mbele ya haki nikiwa mdogo Sana...nimelelewa na watu Baki tu hadi nikaweza kusimama mwenyewe.
Mmoja wa watu walionilea nilimkatia Bima ya Afya ya NHIF ambayo amekuwa akiitumia tangu 2005...juzi Mzee huyo kazuiwa kutibiwa kadi yake imefungiwa. Kaambiwa apeleke kitambulisho cha NIDA, Nina uhakika hataweza kuthibitishwa kwasababu majina yake na yangu hayana uhusiano (nilimsajili kama wengineo)
Sina mtegemezi mwingine niliyemuandikisha maana wanangu wameandikishwa kwa Mama yao ambaye naye ni mchangiaji wa NHIF.
Binafsi sikumbuki mara ya mwisho nolitumia huduma za Bima hii mwaka gani (siombi niumwe) ila najiuliza kwanini mfuko usiangalie akiba ya fedha alizochangia mtu vs matumizi yake kabla ya kuwafuekelwa watu mbali?
Mi Sina shida nao kabisa kuhusu uchangiaji ..shida ni Kwa Nini watupangie watu wa kuwaweka kama wategemezi... Mfano Mimi[emoji23][emoji23][emoji23] sasa chief unataka NHIF iendeshwe kama bima za private. Utakuja lia ndugu, ohoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bima za mashirika binafsi, operation cost mtu akiingia mwenyewe hiyo pesa anayolipia mteja ambaye si mtumishi hataweza kamwe. Mnachoshindwa kutazama ni big picture kwamba NHIF inamembers zaidi ya watumishi ambao mchango wao ni mdogo sana na unatolewa mara moja tu kwa kila mwaka. Ukitaka kusema michango, sasa tuwafukuze hawa wengine. Bima ni cost sharing, wewe kutokuumwa haina maana haitumiki. Sasa kwaunachosema, je wewe unataka bima imsaidie hata mtanzania asiyeajiriwa na anauwezo mdogo au ihudumie watumishi tu. Ndio maana bima hii ikawekwa chini ya serikari maana kama ingebinafsishwa kama nchi ya marekani au nchi zingine haki ya Mungu pesa za kuingia ndani ya bima zingepanda mno tena mno na ingejioperate full kama insurance company usingeamini yatakayokuja kutokea. Maana NHIF haiishii Dar, inafika hadi Rusumo na kijijini uko. Tujifunze kuwaza zaidi ya mtumishi tu
Sent using Jamii Forums mobile app