NHIF yazusha taharuki tena licha ya tamko la Waziri, wateja walalamika kutolewa katika huduma

[emoji23][emoji23][emoji23] sasa chief unataka NHIF iendeshwe kama bima za private. Utakuja lia ndugu, ohoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bima za mashirika binafsi, operation cost mtu akiingia mwenyewe hiyo pesa anayolipia mteja ambaye si mtumishi hataweza kamwe. Mnachoshindwa kutazama ni big picture kwamba NHIF inamembers zaidi ya watumishi ambao mchango wao ni mdogo sana na unatolewa mara moja tu kwa kila mwaka. Ukitaka kusema michango, sasa tuwafukuze hawa wengine. Bima ni cost sharing, wewe kutokuumwa haina maana haitumiki. Sasa kwaunachosema, je wewe unataka bima imsaidie hata mtanzania asiyeajiriwa na anauwezo mdogo au ihudumie watumishi tu. Ndio maana bima hii ikawekwa chini ya serikari maana kama ingebinafsishwa kama nchi ya marekani au nchi zingine haki ya Mungu pesa za kuingia ndani ya bima zingepanda mno tena mno na ingejioperate full kama insurance company usingeamini yatakayokuja kutokea. Maana NHIF haiishii Dar, inafika hadi Rusumo na kijijini uko. Tujifunze kuwaza zaidi ya mtumishi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi Sina shida nao kabisa kuhusu uchangiaji ..shida ni Kwa Nini watupangie watu wa kuwaweka kama wategemezi... Mfano Mimi
...Mimi mtumishi Nina nafasi 4 .... Aliyekuwa mke wangu(wa ndoa) ana nafasi nne jumla tulikuwa na nafasi 8 za wategemezi .... Wazazi wangu wastaafu wazazi wake pia wote Wana kadi za bima, HOJA INAKUJA
"Watoto wote wawili wamekata Mmoja bima ya mama wa pili nimemkatia Kwangu... Zimebaki nafasi 3 kwangu tatu Kwa (former wife)... Lakini siruhusiwi kuweka ndugu jamaa Wala Rafiki ...Kwa Nini!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…