Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Kule nilishakata mawasiliano hakuendeki tena [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tusipende kurudia rudia maneno.. Nilishakwambia PM yangu inakusubiri we tu niifunge Basiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule nilishakata mawasiliano hakuendeki tena [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tusipende kurudia rudia maneno.. Nilishakwambia PM yangu inakusubiri we tu niifunge Basiii
Uliisha kasirika tayari.?Kule nilishakata mawasiliano hakuendeki tena [emoji38] [emoji38] [emoji38]
kula ugali kila Sikh,hii kitu siwez acha kabsaaaa!!!Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
Pole mkuu. Huenda una ugonjwa wa depression au sonona. jaribu ku gogle uone dalili zake kama zinaendana na unavyojisikia, kisha nichek inbox.Sababu yoyote ile kuna mda natamani niwe mkavu usoni ila najikuta machozi yamefunika uso tayari.
Puli iyo ni wengi mkuu sio addiction ni desturi tu [emoji23][emoji23]Puli
Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..