mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
HahaaaTimes 3 Acha kabisa Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaTimes 3 Acha kabisa Mkuu.
Wapi nduguu ujingaa tyu...Ukiona unapigwa hivyo ujue unakaribia kuwa tajiri.
Kubet mamaee leo tu ninepigwaa pesaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Najuta kuujua huu mchezoHahahahaha pole Mkuu, pole sana.
Najuta kuujua huu mchezo
Kulia kwa sababu ipi?Kulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi nduguu ujingaa tyu...
Sababu yoyote ile kuna mda natamani niwe mkavu usoni ila najikuta machozi yamefunika uso tayari.Kulia kwa sababu ipi?
Safiiii sana. Uwe unalia ili uwe na furaha.Sababu yoyote ile kuna mda natamani niwe mkavu usoni ila najikuta machozi yamefunika uso tayari.
Nataka kuacha aisee kuna vitu natakiwa nioneshe ujasiri sio kulia bila sababu ya msingiSafiiii sana. Uwe unalia ili uwe na furaha.
Bado katoto ndiyo maana.Nataka kuacha aisee kuna vitu natakiwa nioneshe ujasiri sio kulia bila sababu ya msingi
Mzee baba age yangu Sawa na jiweBado katoto ndiyo maana.
Simply, mimi ni mwepesi wa kusamehe hata kama kosa ni la mpenzi wangu...Fafanua Mkuu
Jiwe yupi? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mzee baba age yangu Sawa na jiwe
Njoo nikupe dawa.Mzee baba age yangu Sawa na jiwe