Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Mie nakunywa maji sana kwenye breakfast, lunch na supper/dinner in between also na glass mbili ninapoenda kulala.
Nikiamka namka na lita moja. Hadi saa 6 mchana nimepiga lita 3 hayo masaa mengine ni kujaza maji bila idadi. Nikiwa nalala napiga lita moja au moja na nusu.
 
Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
Una tatizo inabidi ujizuie hali hiyo sio nzuri
 
Hata kama hujakosewa unagombeza tu?

Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
 
Back
Top Bottom