yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Mida gan taja na mda ambao huwa unalizwaKulia
Hahaha halafu hili niliona kuna mahali kwenye comment yakoKukasirika hovyo
NATOMBANA mkuu[emoji533][emoji527]Wewe unatombana au unatombwa??
Nikiamka namka na lita moja. Hadi saa 6 mchana nimepiga lita 3 hayo masaa mengine ni kujaza maji bila idadi. Nikiwa nalala napiga lita moja au moja na nusu.Mie nakunywa maji sana kwenye breakfast, lunch na supper/dinner in between also na glass mbili ninapoenda kulala.
Mkuu unaweza flash na virutubisho na madini mwilini lol....Huwa nagonga lita 7+ kwa siku muda mwingine nikiwa nimetulia navuta hadi 10.
Mkuu mimi kila dakika kadhaa nakunywa majiSijaona mshindani hapo. Tena Ke!
Ratio yako kwa siku ikoje?Mkuu mimi kila dakika kadhaa nakunywa maji
Sawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]NATOMBANA mkuu[emoji533][emoji527]
Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongeaHahaha halafu hili niliona kuna mahali kwenye comment yako
Hapana mkuu niliamua kupenda maji tangu nianze huo utaratibu hata mafua huwa nanunua kutoka mikoani. (Siugui hovyo)Mkuu unaweza flash na virutubisho na madini mwilini lol....
Naja[emoji14][emoji12][emoji12][emoji12] njoo uniambie pm.
Nimegundua hilo, una hasira sana.Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mnivumilie tuNimegundua hilo, una hasira sana.
Una tatizo inabidi ujizuie hali hiyo sio nzuriEeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
Niliona tu nikajua hizi hasira huwenda ni za mfanyakazi aliyetega sikio Mbeya na kuambulia ahadi.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mnivumilie tu
Huwa najitahidi kweli .....ila dohUna tatizo inabidi ujizuie hali hiyo sio nzuri
Hahahahaha kinaweza kunikwaza kitu kidogo tu balaa lake uuuwiiiHata kama hujakosewa unagombeza tu?