Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Pole sana. Jifunze kujizuia ili usiharibu mahusiano.
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
 
Nikushauri kitu mamy ukiona unaweza kukwazika ondoka eneo hilo.
Sikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basi
 
Serious mamy hilo kwako ni tatizo pole sana
 
Pole sana inabidi uwe mvumilivu labda kuuliza kwa upole badala ya kuanza kumkoromea. Kama alikuwa ana sababu ya maana ya kutopiga inaweza kuwa soo.

Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
 
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
Hahaha huo wako ni wivu best punguza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pole sana inabidi uwe mvumilivu labda kuuliza kwa upole badala ya kuanza kumkoromea. Kama alikuwa ana sababu ya maana ya kutopiga inaweza kuwa soo.
Najitahidi tu Mungu anisaidie maana dooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…