Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ila mbona kuna mahali wanasema umefunga [emoji14][emoji14]Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mbona kuna mahali wanasema umefunga [emoji14][emoji14]Karibu sana
Hahahahahahahaha we bwanaNiliona tu nikajua hizi hasira huwenda ni za mfanyakazi aliyetega sikio Mbeya na kuambulia ahadi.
Hahahahaha kinaweza kunikwaza kitu kidogo tu balaa lake uuuwiii
Niliona jibu tu nikasita nikarudi kutazama ni yeye au!! Hasira siyo nzuri maana hukuumiza wewe mwenyewe.Hahahahahahahaha we bwana
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaaPole sana. Jifunze kujizuia ili usiharibu mahusiano.
Zikinizidi huwa nalia sana zinapunguaNiliona jibu tu nikasita nikarudi kutazama ni yeye au!! Hasira siyo nzuri maana hukuumiza wewe mwenyewe.
Jitahidi uwe kawaida na uone kila kitu kawaida.
Nikushauri kitu mamy ukiona unaweza kukwazika ondoka eneo hilo.Huwa najitahidi kweli .....ila doh
Mmh utakuja kujinyonga.Zikinizidi huwa nalia sana zinapungua
Sikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basiNikushauri kitu mamy ukiona unaweza kukwazika ondoka eneo hilo.
Siwezi kujinyonga bwanaaaaMmh utakuja kujinyonga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nataka niwe nakutia hasira unaliaaaaa. Mimi kwangu itakuwa burudani.Siwezi kujinyonga bwanaaaa
Aaah hapo naweza kukudhuru hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nataka niwe nakutia hasira unaliaaaaa. Mimi kwangu itakuwa burudani.
Serious mamy hilo kwako ni tatizo pole sanaSikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basi
Nishajua weakness sasa ni kukuchokoza ulie hadi upasuke. Na mimi napenda sana uchokozi.Aaah hapo naweza kukudhuru hahahaha
Asante Sijui ni vya kurithi vinazidi ...maana dingi ana hasira mbayaa mnooo na mama nae ni msemaji haswaaaSerious mamy hilo kwako ni tatizo pole sana
ilidhkani nikonpeke yangu lile sud li aletaga raha kweny seben mm hkata kuligusa badoNapenda sana gita ila sijawahi kujua kulipiga.
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
Mkuu tulia uandike vizuri nikuelewe...ilidhkani nikonpeke yangu lile sud li aletaga raha kweny seben mm hkata kuligusa bado
Hahaha huo wako ni wivu best punguza 😀😀😀😀😀Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
Najitahidi tu Mungu anisaidie maana doohPole sana inabidi uwe mvumilivu labda kuuliza kwa upole badala ya kuanza kumkoromea. Kama alikuwa ana sababu ya maana ya kutopiga inaweza kuwa soo.