Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

namalizia hela yangu imebaki kama elfu 30000
 
Kwanini atakuwa anaenjoy?
Siko chuo sa hivi
Nlipokua chuo nlikua na ps4 geto baby alikua anamind sana nkimaliza game naanza cheza naimagine mnakutana wote mnapenda everymans dream...ila nowdays ubize wa kazi nakosa mda kabisa
 
Aki mm nimekosa kimoja, ninazo nyingiiii.

Nimekua wale wa mchanganyo, mchanganyo bwana Yesu amekataa, mchanganyo mchanganyo.

But nimeokoka nampenda Yesu kristo.
 
Sikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basi
Mimi nna kisirani ila wewe hii imezidi
 
Uzuri ni kwamba umeshalijua hili tatizo hivyo ni rahisi kupambana nalo. Kunywa maji au hesabu mpaka 200 ili usimkoromee mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii dawa yako nimeipenda
 
Reactions: BAK
Addiction yangu kuplay piano ma kusikiza music hususani ngoma za gospel kina travis green jonathan mcreynolds jonathan butler jj hairstone marvin sapp hillsong nk
Kuna mtu namfahamu yupo kama wewe.
 
Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
Hahahahaha kinaweza kunikwaza kitu kidogo tu balaa lake uuuwiii
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
Sikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basi
Asante Sijui ni vya kurithi vinazidi ...maana dingi ana hasira mbayaa mnooo na mama nae ni msemaji haswaaa
Pole Sana aiseee Mungu akusaidie, Maadam umelijua tatizo, ni nusu ya kulisolve kama wasemavyo wazungu. Mi binafsi Nimeyashinda mengi Sana maana mpka nikasirike kweli umefanya kazi ya ziada Sana. Sasa basi tunaweza kuwa tunawez kuwa tuna balnce ze equation.

BTW Mi uraibu wangu mkubwa ni uhongaji yaani daah sijui nielezeje. Yani nisipo honga Mimi Akili haifaanyi kazi kabisa. Yan hata kama sio changu nitahonga tuuuu daaah!
 
Me[emoji137]
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…