Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Kuangalia picha na video chafu. Hii imenishinda kuacha kabisa
 
Pole Sana aiseee Mungu akusaidie, Maadam umelijua tatizo, ni nusu ya kulisolve kama wasemavyo wazungu. Mi binafsi Nimeyashinda mengi Sana maana mpka nikasirike kweli umefanya kazi ya ziada Sana. Sasa basi tunaweza kuwa tunawez kuwa tuna balnce ze equation.

BTW Mi uraibu wangu mkubwa ni uhongaji yaani daah sijui nielezeje. Yani nisipo honga Mimi Akili haifaanyi kazi kabisa. Yan hata kama sio changu nitahonga tuuuu daaah!
Wewe umetupiga kamba
 
Nilivyo mfungulia uzi watu wakamuonea wivu wakamuandama kaka wa watu mpaka kajitoa
Hahaha sasa yule si member mzoefu humu hajawazoea watu wa humu jukwaani labla awe na sababu nyingine ana skendo moja labla hiyo ndio iliyopelekea ajifiche 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom