Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlipokua chuo nlikua na ps4 geto baby alikua anamind sana nkimaliza game naanza cheza naimagine mnakutana wote mnapenda everymans dream...ila nowdays ubize wa kazi nakosa mda kabisaKwanini atakuwa anaenjoy?
Siko chuo sa hivi
Kupiga gitaa
Hamia Need for speed the Run ni Kali kulikoNeed For Speed Most Wanted
Njoo tucheze Need for Speed ze run ni Kali kulikoNeed For Speed Most Wanted
nikiwa katika hali kama hiyo uliyoitaja naweza kuchoma hadi pakti mkuuHilo pepo pia linanitesa sana haswa kichwa kikipata moto au nikiwa viti virefu.
Mimi nna kisirani ila wewe hii imezidiSikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basi
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii dawa yako nimeipendaUzuri ni kwamba umeshalijua hili tatizo hivyo ni rahisi kupambana nalo. Kunywa maji au hesabu mpaka 200 ili usimkoromee mtu.
Kuna mtu namfahamu yupo kama wewe.Addiction yangu kuplay piano ma kusikiza music hususani ngoma za gospel kina travis green jonathan mcreynolds jonathan butler jj hairstone marvin sapp hillsong nk
Eeeiiish yaani Mimi nina hasira jamani mpaka sielewi kibaya siwezi kujizuia....yaani anaekaa katika mahusiano na inabidi awe na moyo haswaa maana sichoki kugombeza na kuongeaongea
Hahahahaha kinaweza kunikwaza kitu kidogo tu balaa lake uuuwiii
Hapo ndipo kwenye mtihani haswa kwenye mahusiano ...nikipiga simu haijapokelewa Mara mbili hiiiiiiii vitaaa
Nikiambiwa nipe dakika 15 nitapiga halafu anapitisha saa nzima vitaaa yaani jamani mpaka muda mwingine namhurumia niliyenae basi tu
Sikuhizi nipo hivyo mpenzi muda mwingi nakaa peke yangu....nikiwa home sitoki nje ....nikiwa chuo natafuta sehemu nakaa peke yangu kipindi kikiisha sina muda na mtu narudi zangu home nakaa ndani basi
Pole Sana aiseee Mungu akusaidie, Maadam umelijua tatizo, ni nusu ya kulisolve kama wasemavyo wazungu. Mi binafsi Nimeyashinda mengi Sana maana mpka nikasirike kweli umefanya kazi ya ziada Sana. Sasa basi tunaweza kuwa tunawez kuwa tuna balnce ze equation.Asante Sijui ni vya kurithi vinazidi ...maana dingi ana hasira mbayaa mnooo na mama nae ni msemaji haswaaa
Mweeeeh wewe viatu[emoji23]Huwa nagonga lita 7+ kwa siku muda mwingine nikiwa nimetulia navuta hadi 10.
Me[emoji137]
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii dawa yako nimeipenda
Watafiti wanasema wanawake wenye macho mazuri ni wepesi kulia [emoji6]Sababu yoyote ile kuna mda natamani niwe mkavu usoni ila najikuta machozi yamefunika uso tayari.
Kisukari hicho sio kawaidaHivi wewe unaweza kunywa maji kunizidi? Sidhani kama kuna kiumbe kwa sasa anakunywa maji Tanzania kama mimi.
Hahaha umeyaona macho yangu best 😉Watafiti wanasema wanawake wenye macho mazuri ni wepesi kulia [emoji6]
Usikariri mkuu, kunywa maji siyo kwa sababu mgonjwa ila afya ya mwili.Kisukari hicho sio kawaida
Nitakuonesha siku moja.Mweeeeh wewe viatu[emoji23]