Ni addiction gani imekushinda kuiacha??

Kuangalia picha na video chafu. Hii imenishinda kuacha kabisa
 
Wewe umetupiga kamba
 
Nilivyo mfungulia uzi watu wakamuonea wivu wakamuandama kaka wa watu mpaka kajitoa
Hahaha sasa yule si member mzoefu humu hajawazoea watu wa humu jukwaani labla awe na sababu nyingine ana skendo moja labla hiyo ndio iliyopelekea ajifiche πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…