Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Huu uzi umefufua machungu waliyowahi kunipa wajeda Wale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ayapo sikuiziEnzi hizo wajeshi bado wanalipa nauli kwenye daladala,. Siku moja akapanda mjeda demu kwenye gari. Bahati mbaya nauli ikiwa haitoshi, konda akapaniki kwakua anamuona ni mwanamke. Konda si akamnyanganya kofi ya jeshi kufidia nauli yake[emoji1787][emoji1787] Makosah in Dj Afro voice.
Dada wa Watu hata hakugomba akaenda kambini akaelezea kilichotokea, Lile gari wakati linarudi wakakuta wanajeshi kama 20 wamejipanga barabarani wakamdaka yule konda. Otea kilichomtokea konda
[emoji115][emoji115][emoji115] mawardat [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]Nakumbuka nilikua darasa la 6 kitambo tulienda kukata magoli ya miti jeshini ilikua mwanza nyashana, sasa baada ya kukata tukakutana na mjeda mmoja akatuuliza mnafanya nn? Tukamwambia tunapita tu[emoji1787]
Pale tulipokua kwa nyuma tulipotoka kulikua na bango limeandikwa marufuku kupita eneo hili la Jeshi.... Akaanza kutuliza mmoja mmoja , akaanza na mimi ww hukuliona hilo bango linaktaza msipite hapa kwa uoga nikasema niliona ila nisamehe sirudii..
Akanisogeza pemben kulia , wale wenzangu walivoona hivo walipoulizwa kila mtu akawa anasema mimi sikuluona hilo bangk ndomna nikaingia huku wakawa wanawekwa pemben upande wa kushoto tulikua kama 7 ... yule mjeda akachkua ule mti mmoja wa goli akaukata kati na lile panga lile panga akalivunja na mkono kilichofata me niliambiwa ww nenda umesema ukweli wale wenzangu walipigwa vibaya nilikua naskia tu mayowe nikikimbia kwenda hom
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka nilikua darasa la 6 kitambo tulienda kukata magoli ya miti jeshini ilikua mwanza nyashana, sasa baada ya kukata tukakutana na mjeda mmoja akatuuliza mnafanya nn? Tukamwambia tunapita tu[emoji1787]
Pale tulipokua kwa nyuma tulipotoka kulikua na bango limeandikwa marufuku kupita eneo hili la Jeshi.... Akaanza kutuliza mmoja mmoja , akaanza na mimi ww hukuliona hilo bango linaktaza msipite hapa kwa uoga nikasema niliona ila nisamehe sirudii..
Akanisogeza pemben kulia , wale wenzangu walivoona hivo walipoulizwa kila mtu akawa anasema mimi sikuluona hilo bangk ndomna nikaingia huku wakawa wanawekwa pemben upande wa kushoto tulikua kama 7 ... yule mjeda akachkua ule mti mmoja wa goli akaukata kati na lile panga lile panga akalivunja na mkono kilichofata me niliambiwa ww nenda umesema ukweli wale wenzangu walipigwa vibaya nilikua naskia tu mayowe nikikimbia kwenda hom
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuogelea kama samaki wa Pakistan
Sintasahau
Utapigwa doso mpk utaingia mwezini bila kupenda.[emoji23][emoji23]Mimi sikimbii hata chembe
Wanaingia kambini na kujaribu kufanya uhalifu...ila wengi udakwaWanajeshi hata kama hauna kosa unatengenezewa kosa. Nilitumwa jeshini kikazi nimeulamba na mchuchumio juu.kufika getini nikaruhusiwa nikakaa pale mapokezi.
Kweli walinichangamkia si unajua wanaume kila mtu anataka no.mmh.
Nikawaambia nilichokifata kweli walikuwa wakijua hiyo issue ila walikuwa wakikwepa nisikutane na hao watu ambao ni wafanyakazi humo ndani ila sio wanajeshi.
Tatizo wakati naenda nikasahau kitambulisho, yesuuuuuu, hili ndo kosa kubwa nilifanya. Nikapelekwa kwa mkubwa wao.
Swali la kwanza wewe ni raia au ni mpelelezi? Nikasema mimi ni raia, unatoka wapi? Nikajibu, akasena watu wa hiyo wilaya sio raia, nikawapa kitambulisho cha nida akasema hicho kinatafutwa huko kwenu hakunaga raia.
Hapa nikawaza nimpigie boss wangu maana nilienda pale kikazi na ni ilikuwa ni amri so kikawaza nimpigie.
Nikapelekwa ofisi nyingine nilihojiwa kuanzia babu na mabibi nisio wajua.
Documents nilizopeleka pale zinaonesha ninakotoka na niko sahihi kuwa pale tatizo sina kitambulisho.
Nilizungushwa ofisi zote, mara mvua ikanyesha mjeshi mmoja akasema huyu avue viatu abilingishwe hadi getini, kwanza sio raia anatoka wilaya ovyo kabisa. Sio raia wale😂😂😂
Mjeshi mwingine kasema mwacheni tu aje huku tumkague kama ni raia.
Nikapekekwa kwenye kachumba na mjeshi wa kike nikavua shati aangalie kama nina ndui ile chanjo iliachaga kovu, basi akaikuta, nikarudishwa ofisini, nikataka kumpigia boss wangu hawataki maana walijua ntapata msaada fasta .
Jioni sana nikaruhusiwa kuondoka ila wakaweka ngumu nisikutane na wale watu ingawa niliwaona, nikaondoka zangu.
Nyie watu jeshini sio sehemu salama.yaani huwezi kwenda kule ukakosa kosa lolote lazima wakutengenezee kosa ilimradi tu wakunyooshe akili ikukae sawa.
Niliwaza sana hizi movie tunazoziona mtu anajitosa kuingia jeshini anakuwa hajipendi.
Sidhani katika hali ya kawaida kama kuna kaka jambazi ambae alishawahi ingia jeshini akatoka salama maana wako makini sana.
Waniue tu lakini sifanyiUtapigwa doso mpk utaingia mwezini bila kupenda.
Jamaa Walikuwa wanapita na kigoma cha Uruguay wanatoka kawe wanaelewa makongo juu kule,vibe likazidi wakajisahau wapo viunga vya lugalo jeshini uku wanapiga vigoma na wanawake kukatika viuno.Wakaitwa wakawapigie wanajeshi maana 'walipenda Ngoma yao'
Jamaa walipigishwa Ngoma kuanzia jioni Hadi asubuhi non stop Hadi mikono ya wapiga Ngoma ikavimba,wanawake walikatika viuno Hadi wakachoka.kufika asubuhi Waimbaji na wapiga Ngoma wote wakawa wanalia huku burudani ya Ngoma Kwa wajeda ikiwa inaendelea...Ilikuwa kitambo hiko lkn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa jet tanga kule chini kwenye mikoko nilikuwa nasoma kakitabu nimekaa chini ya mtu lakini pembeni yangu kuna mtu na demu wako nao wamekaa kwenye mti wanabebishana
Kumbe eneo la jeshi hatujui tukasikia huko kichakani mtu anavunja fimbo anatokea akatuangalia akanisalimia kwanza mimi dogo vipi nami nikamsalimia akawageukia wale wengine kilichotokea Mungu tu ndio anajua
Mimi hata hakunigusa mpka leo najiuliza kwa nini
Nacheka kama mazuri... Pole Sana mzeiyaNakumbuka nilikua darasa la 6 kitambo tulienda kukata magoli ya miti jeshini ilikua mwanza nyashana, sasa baada ya kukata tukakutana na mjeda mmoja akatuuliza mnafanya nn? Tukamwambia tunapita tu[emoji1787]