Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

iyo Historia ulikua Unaletewa wew sio Enyimba maana unalazimisha kukaa kiti kimoja Na Simba kwenye hii michuano kubali tu aliyekutangaliua kakutangulia tu ata ukichukua Rekodi za Msimu huu bado nimekuzidi kama unabisha sema tukuweke data apa
Nyie simba ni wakubwa kuliko Yanga kimataifa hilo linafahamika. Ila kumbuka record huvunjwa mzee na mpira wa sasa umebadilika sana.

Mnajifariji kwa historia utadhani mmekua watu wa porini
 
Nyie simba ni wakubwa kuliko Yanga kimataifa hilo linafahamika. Ila kumbuka record huvunjwa mzee na mpira wa sasa umebadilika sana.

Mnajifariji kwa historia utadhani mmekua watu wa porini
Rekodi zinaongeza klabu point na klabu point zinavyozid kuongeza klabu Rank inazidi kupanda juu na Klabu Rank ikiwa kubwa ni rahisi kuuza Brand ya klabu mfano Real madrid ni Best club of all Time in Football History sababu ya rekodi alizotengeneza sio kitu kingine Msimu huu Simba kacheza Africa Super leauge sababu ya Rekodi zake kwenye CAF champions leauge sio kitu kingine .
 
Point iliyopo kwa wenye akili timamu na tulioucheza mpira ni je kwanamna ipi simba ataivuka hii hatua ambao inampa tabu kwa miaka mingi? Na je Yanga nae kivipi ataingia nusu fainal?
Kumbe ndo hili? Bas acha tusubiri.
 
Waambie ukiingia robo lazima ukutane na wanalijua soka[emoji7] Simba yoyote anajitupa uwanjani. Kuvuka au kutovuka ni DK 180. Huwezi kuwa Mkubwa Kwa kucheza na kina Marumo[emoji16]
Au US monastir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ASEC inawajua vizuri sana wachezaji wa Yanga maana imewalea na kuwakuza kisoka kisha wakakulia hapo na mazoezini wamekabana sana na kocha Julio anawajua vizuri mno.

Aziz Ki, Pacome, Yao Yao bila kumsahau Guede, hawa wote ni zao la kocha Julio hapo ASEC pia hao vijana wake sidhani kama wanaweza kumsaliti au kumuumiza mwalimu wao wa zamani aliyewatoa kimaisha.

Yanga akipangwa na Mamelod ni salama zaidi sababu baada ya Motsepe kuinunua Mamelodi, Kocha wa kwanza alikuwa Gamond na ndiye muasisi wa soka safi mnalo liona hapo kwa Wabrazil wa South maarufu kama "Shoe shine and amapiano", yaani kubrashi viatu kwa mpira huku ukiumiliki na kuuchezea utakavyo.

Msije kusema sikuwaambia.
Ila msije mkafa uwanjani kwa furaha tu
Ohh tunaenda kuifunga Al Ahly kwao. Al Ahly mnaijua?
Yanga ushindi kwao ni vitu vigeni ndiyo maana walizimia uwanjani.
Mtu kala 6-0 halafu kimya kama hakuna kitu na watu hawazungumzii mechi. Ndiyo ujue ushindi kwa Simba ni kawaida sana😁😁😁😁
 
Au US monastir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwamba kwenye mpira ukishatanguliza unazi kila inachofanya Yanga kwakuwa hauipendi ni kuponda utakuwa unafeli sana haya unaitolea mfano us monastr kuwa ni dhaifu je simba ambaye alikula goli 5 mpaka kafukuza benchi lote la ufundi unaizungumziaje? Vipi usm alger ambayo yanga kakutana nae final akafungana nae 2 kwa 2 kiasi kwamba yanga alitolewa kwa goli la ugenini ila huyo huyo usm alger alipokutana na bingwa wa champion league akamtandika utasemaje napo? Mpira sio mchezo wa kila mtu kushabikia
 
Ila msije mkafa uwanjani kwa furaha tu
Ohh tunaenda kuifunga Al Ahly kwao. Al Ahly mnaijua?
Yanga ushindi kwao ni vitu vigeni ndiyo maana walizimia uwanjani.
Mtu kala 6-0 halafu kimya kama hakuna kitu na watu hawazungumzii mechi. Ndiyo ujue ushindi kwa Simba ni kawaida sana😁😁😁😁
Ushindi wa goli 6 dhidi ya timu ya aina gani? Na ushindi wa goli 4 dhidi ya timu ya aina gani? Na je mbona kuna mshkaji mmoja wa Yanga hapa mtwara tumemzika mwaka jana kisa usm alger kuifunga Yanga taifa? Umewahi kucheza mpira?
 
Rekodi zinaongeza klabu point na klabu point zinavyozid kuongeza klabu Rank inazidi kupanda juu na Klabu Rank ikiwa kubwa ni rahisi kuuza Brand ya klabu mfano Real madrid ni Best club of all Time in Football History sababu ya rekodi alizotengeneza sio kitu kingine Msimu huu Simba kacheza Africa Super leauge sababu ya Rekodi zake kwenye CAF champions leauge sio kitu kingine .

Rekodi zinaongeza klabu point na klabu point zinavyozid kuongeza klabu Rank inazidi kupanda juu na Klabu Rank ikiwa kubwa ni rahisi kuuza Brand ya klabu mfano Real madrid ni Best club of all Time in Football History sababu ya rekodi alizotengeneza sio kitu kingine Msimu huu Simba kacheza Africa Super leauge sababu ya Rekodi zake kwenye CAF champions leauge sio kitu kingine .
Enyimba na raja Casablanca ipi ni timu bora kwa miaka hii 10?
 
Ushindi wa goli 6 dhidi ya timu ya aina gani? Na ushindi wa goli 4 dhidi ya timu ya aina gani? Na je mbona kuna mshkaji mmoja wa Yanga hapa mtwara tumemzika mwaka jana kisa usm alger kuifunga Yanga taifa? Umewahi kucheza mpira?
Kwa vile mlipigwa 3-0 ndiyo unasema ushindi wa aina gani? Pole kwa kuzimia uwanjani😀😀😀 Ushindi kwenu ni vitu vigeni
Simba asingepigwa 3-0 na Boulzdad. Ingefungwa ni 1-0 au 0-0 au 1-1.
Al Ahly huyo hapo meshindwa kuifunga😀😀😀😀
Mnapenda kujifariji😀😀😀😀
Al Ahly na Simba walitoka 2-2 na kwao ilikuwa 1-1. Nyie mkaenda kufungwa 😀😀😀😀😀
 
Simba alimaliza kinara kwa point 13 mbele za al ahly mwenye point 8 ila huyo simba hakuvuka kwenda nusu ila al ahly alichukua ubingwa vipi umejifunza nini?
 
Betting imeharibu mno tasnia ya uchambuzi wa soka
 
Mim nipe yoyote mzee wew ambaye unachagua chagua mara sjui Asec Wew kama Mwamba Subiri CAF watakudondesha Nani Usichague Chague Timu pale Hamna Polisi Tanzania
Yaani kila msimu unaishiaga hapo hapo halafu leo unajitapa nipe yeyote utafikiri uliwahi kupita zaidi ya hapo.
 
Siku ya kwanza kupangwa makundi kwenye kundi la D kuna aliekajua kama Yanga ataingia robo halafu belouzdad asifuzu? Je kwenye kundi la simba kuna aliekajua kuwa wydad hatoingia robo fainal? Tuongee kisoka tuachane na mihemko ya balehe
Wengi waliamini kuwa Wydad na Simba watafuzu
Huku Al Ahly na Belouizdad ndio watafuzu ila mwisho wa siku timu za pot 3 zimefuzu kasoro Al Hilal pekee
 
Simba ana ugeni Gani na Robo fainali wakati msimu uliopita kacheza Robo fainali na waydad au ile ilikua ni Mechi ya makundi Simba vs kaizer chief 2021ilikua nin ile au Sio Robo ile Simba Vs Tp mazembe mwaka 2019 ilikua kitu Gani wew tupe recodi zako za Robo fainali za ligi ya Mabigwa tuzione apa Ndio tujue mim na wew Nani Mgeni wa Robo fainali au mwezetu huelewi maana ya Neno Ugeni maana ya Neno ugeni maana ake ni kwamba ilo jambo kwako ni jipya ungesema Simba ni mgeni kwenye semi final ningekuelewa afu ishu ya waydad kutoka kwenye Kundi letu si haituhusu
Ugeni sio kucheza robo bali kufuzu hiyo robo kwenda nusu. Simba kama kila msimu anaishia hapo hapo basi ni mgeni wa nusu fainali
 
Back
Top Bottom