Ni Aibu Afrika Nzima Kutegemea 40% ya Ngano Kutoka Ukraine

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake.

Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi.
1659689670295.png

Mpaka sasa ngano iliyohifadhiwa kwenye maghala ya Ukraine pekee ni kiasi cha tani milioni 20 huku ikitarajiwa kufikia tani milioni 75 mwisho wa mwaka 2022 endapo hakutakua na usafirishaji wa kibiashara kwenda nchi zenye uhitaji.

Endapo mzozo wa kivita utaendelea kiasi asilimia 30 ya kati ya tani milioni 86 ya ngano haitavunwa na kuendelea kusababisha uhaba mkubwa bidhaa hiyo duniani.

Mbali na Ngano, Ukraine ndiye mzalishalisha mkuu wa mafuta ya kula ya kula duniani akiwa na uzalishaji wa asimilia 42 ya mafuta yote yanayotumika.
1659690017236.png

_______________________________________

How much grain is stuck in Ukraine?​

About 20m tonnes of grain meant for export are trapped in the country.
Ukrainian president Volodymyr Zelensky has said this could rise to 75m tonnes after this year's harvest.

The war also means that this year's harvest will be smaller.
As much as 30% of the 86m tonnes of grain Ukraine normally produces will not be harvested, says Laura Wellesley, a food security specialist at think tank Chatham House.

How have grain shortages affected other countries?​

Ukraine is usually the world's fourth-largest grain exporter. It normally produces 42% of the world's sunflower oil, 16% of its maize and 9% of its wheat.
In addition, wheat exports from Russia - the world's largest exporter - are down.
Western sanctions do not target Russian agriculture, but the Kremlin argues they have hindered exports by hiking insurance rates and affecting payments.
Russian ships carrying agricultural products are not barred from EU ports.

Ukraine and Russia usually supply over 40% of Africa's wheat, the African Development Bank says.

But the war has led to a shortage of 30 million tonnes of food in Africa, it says. This has contributed to a 40% rise in food prices across the continent.

In Nigeria, it has helped increase the price of staples such as pasta and bread by as much as 50%.
 
Shida ni kwamba Africa imejaa wakulima wadogo. Mtu analima Eka 2 basi. Hapa Tanzania ngano nimekutana nayo Mbeya, Iringa (Kilolo), Makete, Ludewa na Hanang. Tatizo, uwekezaji hamna
 
Hii ingetakiwa iwe ndio fursa kwa Africa shida yetu sisi siasa ni nyingi sana .Tumeshinda kutenganisha siasa na uwajibikaji.Ebu fikiria sasa hivi unakuta upati kazi serikalini eti lazima uwe mwanachama wa CCM seriously tunashida kwa hilo mimi nlitegemea kazi apewe mtu mwenye sifa na vigeza .Tutabaki kutegemea chakula na mbolea kutoka nje mpaka tunaingia kaburini na kibaya zaidi tuna ridhisha watoto wetu na wajukuu
 
Nafikiri large scale agriculture kwa Africa bado sana kutokana na poor economies
 
Watajua wenyewe...wafanye wafanyavyo...bia mtaani zisikosekane kabisa...huna akili, mvivu, masikini, familia mbovu, umechakaa, hujawah gundua chochote, sasa si unywe bia tu usahau shida zako...ukizaliwa Africa tu jua ni mnusa mkia wa mbwa..na ukiwa na uwezo kuliko wao..hawakubakishi..muhudumu sambaza upendo...uking'aka kufaa 😂😂😂
 
Nafikiri large scale agriculture kwa Africa bado sana kutokana na poor economies
Wala siyo poor economy Kaka ivi hii nchi ina matajiri wangapi waliowekeza kwenye kilimo tukianza na bakhresa na kampuni yake ya Azam, kuja na Mo na kampuni yake ya melt kuja na sumry matajiri wengi wamewekeza kwenye kilimo tatizo ni serikali haikai nao ili kufungua secta nzima ya kilimo tena zile zenye tija magu alijitaidi Kwa bakhresa kumpa ardhi na kuwekeza kwenye sukari Ila ansikia wazee wakazi wamezuia kwenye maswala flani yaliyopelekea Hadi saivi ajaanza kuzalisha wakati alitangaza mwaka huu mwezi wa pili uzalishaji utaanza mashamba makubwa ya ngano yalikuwa manyara Ila kipi kilitokea yamebaki Tu kama mapori Kwa sasa kama serikali ikiweka nguvu kwenye kilimo kama inavyofanya kwenye miradi hii mikubwa basii hii nchi wakulima wataiishi Kwa Raha na vipato vyao vitaongezekaa ata ili swala la ajira litapungua Kwa Kasi kubwa
 
Kwaiyo twaweza conclude kwamba ni poor government support and policies
 
msilaum uvivu wala kitu kingine.pesa za kuwekeza katika kilimo zikitolewa mwekezaji anazichukua na kutumia katika secta zake binafsi bila kufuatiliwa. kumbuka mchizi mmoja alichukua mabilion ya hela kuwekeza katika mashamba ya katani ayafufue lakini hakufuatiliwa mpaka leo! japan kuna wakati ilitoa msaada wa pesa za kusaidia kuinua kilimo watu walichukua mamilion ya pesa ili wakawekeze kilimoni lakini walitumia pesa kivyao vyao bila kufuatiliwa!hawa wafanyabiashara wabaokwepa kukopa benki na kuvizia pesa za kuinua kilimo kukopa na kupanua biashara badala ya kilimo ndo wanao tuangusha.
 
Sasa Kwa nini Waafrika wengi sana wanaichukia Ukraine wakati inawalisha Waafrika wengi sana??!
Huu ni mtanziko.
 
Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake.

Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi. View attachment 2314840
Mpaka sasa ngano iliyohifadhiwa kwenye maghala ya Ukraine pekee ni kiasi cha tani milioni 20 huku ikitarajiwa kufikia tani milioni 75 mwisho wa mwaka 2022 endapo hakutakua na usafirishaji wa kibiashara kwenda nchi zenye uhitaji.

Endapo mzozo wa kivita utaendelea kiasi asilimia 30 ya kati ya tani milioni 86 ya ngano haitavunwa na kuendelea kusababisha uhaba mkubwa bidhaa hiyo duniani.

Mbali na Ngano, Ukraine ndiye mzalishalisha mkuu wa mafuta ya kula ya kula duniani akiwa na uzalishaji wa asimilia 42 ya mafuta yote yanayotumika.
View attachment 2314849
_______________________________________

How much grain is stuck in Ukraine?​

About 20m tonnes of grain meant for export are trapped in the country.
Ukrainian president Volodymyr Zelensky has said this could rise to 75m tonnes after this year's harvest.

The war also means that this year's harvest will be smaller.
As much as 30% of the 86m tonnes of grain Ukraine normally produces will not be harvested, says Laura Wellesley, a food security specialist at think tank Chatham House.

How have grain shortages affected other countries?​

Ukraine is usually the world's fourth-largest grain exporter. It normally produces 42% of the world's sunflower oil, 16% of its maize and 9% of its wheat.
In addition, wheat exports from Russia - the world's largest exporter - are down.
Western sanctions do not target Russian agriculture, but the Kremlin argues they have hindered exports by hiking insurance rates and affecting payments.
Russian ships carrying agricultural products are not barred from EU ports.

Ukraine and Russia usually supply over 40% of Africa's wheat, the African Development Bank says.

But the war has led to a shortage of 30 million tonnes of food in Africa, it says. This has contributed to a 40% rise in food prices across the continent.

In Nigeria, it has helped increase the price of staples such as pasta and bread by as much as 50%.
Huu ni uongo na uzandiki wa Wazungu. Africa haitegemei 40% ya ngano toka Ukraine labda kama unamanisha Africa ni zile nchi 5 za Kaskazini mwa Africa.

Ngano ya Ukraine inauzwa nchi chache za Kiarabu na Kaskazini mwa Africa. Wazungu ili kupumbaza wanadamu inasema Africa inakufa njaa sababu ngano ya Ukraine haitufikii. Huu ni uongo 100%
 
Huu ni uongo na uzandiki wa Wazungu. Africa haitegemei 40% ya ngano toka Ukraine labda kama unamanisha Africa ni zile nchi 5 za Kaskazini mwa Africa.

Ngani ya Ukraine inauzwa nchi chache za Kiarabu na Kaskazini mwa Africa. Wazungu ili kupumbaza wanadamu inasema Africa inakufa njaa sababu ngano ya Ukraine haitufikii. Huu ni uongo 100%
Kama.aitegemewi Africa mnona ngano madukani imepanda bei.mara mbili au unamaanisha ya kibaigwa Dodoma tz
 
Nchi zenyewe hiz wanasiasa wanashindana kufanya sifa majukwaani na kuacha sifa baada ya kumaliza uongozi badala ya kuacha alama ya uchumi mzuri kwa wananchi.

Nchi zipo bize kwenye migogoro ya raia wanaotwangana wao kwa wao uku ugaidi ukiwa umeshika kasi, hivi hicho kilimo kinafanyikaje?.

Pembejeo za kilimo zinapanda daily iv icho kilimo kinafanyikaje?

Viongozi wenu wapo bize kuomba omba nje badala ya kuhamasisha kilimo na kuwainua wakulima hiv icho kilimo kinafanyikaje?.

Mpaka leo bado nchi inategemea kilimo cha msimu huku ubunifu ukipuuzwa mnazan icho kilimo kitakuwa?

Kama utoaji wa mikopo kwa wahitaji ni mgumu sana je hao wakulima watainuka vipi?

In short Afrika isipobadirika itaendelea kuwa tegemezi mpka mwisho wa dunia kama utakuwepo
 
Sasa Kwa nini Waafrika wengi sana wanaichukia Ukraine wakati inawalisha Waafrika wengi sana??!
Huu ni mtanziko.
Hailishwi bali ni biashara, tukipiga hesabu za resources zinazotoka afrika na kwenda nje ya bara basi wao ndio hunufaika zaid yetu.

Acha watu waichukie tu
 
Kama.aitegemewi Africa mnona ngano madukani imepanda bei.mara mbili au unamaanisha ya kibaigwa Dodoma tz
Nini ambacho hakijapanda bei? Bando nalo tunategemea Ukraine? Au Mafuta?
 
Sasa Kwa nini Waafrika wengi sana wanaichukia Ukraine wakati inawalisha Waafrika wengi sana??!
Huu ni mtanziko.
Nani anaichukia Ukrein Acha uchizi wako embu jadili mada iliyo mezani Africa inaaeza pata ngano kutoka Rusia au India unaisia Ukrein anazalisha mwenyewe unaleta ushabiki maandazi apa
 
Shida ni kwamba Africa imejaa wakulima wadogo. Mtu analima Eka 2 basi. Hapa Tanzania ngano nimekutana nayo Mbeya, Iringa (Kilolo), Makete, Ludewa na Hanang. Tatizo, uwekezaji hamna
Hizo Trilioni hangaya anazokopa wangelimia ngano halafu tukiuza faida tulipe deni kuliko kujengea matundu ya vyoo!!.
 
Mkopo unakuja na masharti kibao. Unaelekezwa namna ya kutumia.
 
Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake.

Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi. View attachment 2314840
Mpaka sasa ngano iliyohifadhiwa kwenye maghala ya Ukraine pekee ni kiasi cha tani milioni 20 huku ikitarajiwa kufikia tani milioni 75 mwisho wa mwaka 2022 endapo hakutakua na usafirishaji wa kibiashara kwenda nchi zenye uhitaji.

Endapo mzozo wa kivita utaendelea kiasi asilimia 30 ya kati ya tani milioni 86 ya ngano haitavunwa na kuendelea kusababisha uhaba mkubwa bidhaa hiyo duniani.

Mbali na Ngano, Ukraine ndiye mzalishalisha mkuu wa mafuta ya kula ya kula duniani akiwa na uzalishaji wa asimilia 42 ya mafuta yote yanayotumika.
View attachment 2314849
_______________________________________

How much grain is stuck in Ukraine?​

About 20m tonnes of grain meant for export are trapped in the country.
Ukrainian president Volodymyr Zelensky has said this could rise to 75m tonnes after this year's harvest.

The war also means that this year's harvest will be smaller.
As much as 30% of the 86m tonnes of grain Ukraine normally produces will not be harvested, says Laura Wellesley, a food security specialist at think tank Chatham House.

How have grain shortages affected other countries?​

Ukraine is usually the world's fourth-largest grain exporter. It normally produces 42% of the world's sunflower oil, 16% of its maize and 9% of its wheat.
In addition, wheat exports from Russia - the world's largest exporter - are down.
Western sanctions do not target Russian agriculture, but the Kremlin argues they have hindered exports by hiking insurance rates and affecting payments.
Russian ships carrying agricultural products are not barred from EU ports.

Ukraine and Russia usually supply over 40% of Africa's wheat, the African Development Bank says.

But the war has led to a shortage of 30 million tonnes of food in Africa, it says. This has contributed to a 40% rise in food prices across the continent.

In Nigeria, it has helped increase the price of staples such as pasta and bread by as much as 50%.
Kitu pekee Africa inajitegemea ni kufanya mapenzi na uchawi vingine vyote tunategemea watu wenye akili
 
Back
Top Bottom