Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

Kuanguka na wali assembly nikiwa olevel nimetoka staff kuchukua wali nilipewa na madam wangu,

Eh bhana sikuinuka nililala pale pale mpk nikaja nyanyuliwa πŸ˜‚ nikijidai nimezima
 
Niliambiwa nimemchafua baada ya tendo 😭😭 sitasahau
 
Kwakuwa tu ilikuwa o level. Ila kwingineko kila jibu ni jibu inategemea unaliteteaje. Hapakuwa na aibu yyte
Pole
 
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki ukazima

X wangu Aka ropoka
Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula hatulii sehemu moja πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…