chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Kama ukikutana na manzi ana harufu ambayo si kawaida na huwezi kumwambia basi fanya kupima oil kisha kidole pitisha kwenye pua yake,na ikiwezekana mlambishe kabisa taarifa mwenyewe atakuwa ameipata.
Pia kama unaweza kumuambia basi ni vizuri zaidi,ushauri wangu kwako na kwa huyo mtu wako;-
Mshauri [emoji1484]
*Awe anatumia sabuni zenye asili ya ndimu au limao,huwa inakata kwa haraka ile harufu endapo mtu akiwa anatumia mara kwa mara
*Pia sabuni kama Dettol.
*Aoge mara kwa mara na wakati anajisafisha aingize kidole chake hususani cha kati na akizungushe pande zote ndani mwa sehem husika.
*Kila amalizapo mzunguko mkiwa faragha basi anawe au aoge kabisa,hapa yapasa mkaoge wote ili ajue kwamba wote mpo sawa tu.
*Awe ana nawa mara kwa mara na hasa pindi apatapo haja ndogo basi lazima atumie maji na si tissue.
*Pindi apatapo haja kubwa na wakati wa kujisafisha basi awe ana jisafishe kupitia nyuma na si apitishe mkono mbele,na amalizapo anawe mikono vizuri kisha ajisafishe na mbele.
*Kila akimaliza mzunguko wake basi anyoe nywele za sehemu za siri, kawaida nywele za mwanamke hazitakiwi zizidi siku 21 (wiki 3).
*Pia ni vizuri hata kwa kila wiki basi akaogelee baharini na pia wakati ana ogelea baharini basi awe ana jisafisha kwa kuingiza kidole chake.
K kama K kutokuwa na harufu kali inawezekana,yani unakuta mwanamke ana K haitoi harufu unaweza shindwa kutofautisha kati ya harufu ya ngozi ya mkono na harufu ya chini.
Ahsanteni.