Ni aibu Graduate wengi kumaliza chuo hawezi kujitegemea. Nashauri wasipewe vyeti hadi kuwe na ushahidi wa kujitegemea

Ni aibu imejengwa kwenye mindset kuogopa kuonekana wanachoma mahindi, kuuza nyanya gengeni, kuwa mama ntilie, kuwa kinyozi, n.k. ni kujiona keki kwamba kazi pekee wanazoweza kufanya ni za ofisini ama kuuza kwenye frem.
Kwa hiyo wewe unaona sawa mtu asome mpaka chuko kikuu kisha aje kuwa mchoma mahindi, muuza genge, mama ntilie?

Sasa kulikuwa na haja gani ya kusoma?

Yani taifa lijisifu kwamba lina wasomi wachoma mahindi, mama ntilie, wauza genge wanao jitegemea?
 
Kumekuwa na tabia iliyojizolea umaarufu kwa wahitimu wakimaliza vyuo wanarudi nyumbani na kushinda mitaani / mitandaoni bila shughuli maalum ya kuwafanya wajitegemee, muda huwa hausimami miaka inaenda unakuta mhitimu anagonga 28+ bado yupo kwao

Wengi huwa wanaona njia pekee ya kujitegemea ni kuajiriwa, hawapo tayari kufanya shughuli zingine utawasikia "nimeshatuma maombi ya kazi flani nasubiria interview", matokeo yake miaka inaenda mtu yupo kwao.

Shughuli nyingi wanazofanya Darasa la 7 / Form 4 hata wahitimu wanaziweza, ingekuwa vyema wahitimu waanze kujitafuta huku mapema,

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kuchoma mahindi , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kunyoa , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa umama / ubaba ntilie , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa useremala , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?
Unataka Bunge livunjwe? Maana wao wengi ni graduate na hawajiwezi ukiacha msukuma na Gwajima mwenye biashara yake ya kufufua misukule.
 
Hivi unaelewa hata maneno unayo tumia au wajiandikia tu ?!.

Bila hiyo elimu ya darasani mpaka sasa mimi na wewe tusingekuwa tuna chat mpaka muda huu.

Wewe ni mpumbavu sawa na kundi la watu wa aina yako.
Sasa ww unahis tunachat kumbe boya kbs ww hujui unaish dunia gani tofautisha kujua lugha na kua na maarifa. Hatuchat hapa mzee 😅😅 hata wasukuma wanweza kuchat na wakaelewna vzr tu
 
Bongo unakuta university bachelor degree students wanamepanga geti watatu wote wanalala chini kama mijusi
hata kununua kitanda hawawez wao ni vibukta na sendo mixer earphones tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ww unahis tunachat kumbe boya kbs ww hujui unaish dunia gani tofautisha kujua lugha na kua na maarifa. Hatuchat hapa mzee 😅😅 hata wasukuma wanweza kuchat na wakaelewna vzr tu
Huyu jamaa ni wale watu ambao wanatumia nguvu kubwa sana kuonekana wamesoma matokeo yake kuna mipaka wanavuka wanaumbuka, ni sawa na wale wanaolazimisha kujibu swali wasilolijua ilimradi wafosi kuonekana waasomi hata kwa kutumia miaasamiati, mtu hajui maana ya photosynthesis anajibu is the energy in relation to matter 😅
 
Ianze kwa fresh graduates wapya hasa wa 2025/26
Hawa graduates wapya si ndio walifanya mtihani wa form four maswali yana majibu ya kuchagua?

Unaulizwa?
Tanzania ina mikoa mingapi?
1. 28

2. 51

3.120

swali lingine. Rais wa kwanza WA TANZANIA ni?
1. Nyerere.
2. Kenyatta.
3. Iddi Amini
4. Hakuna jibu
 
Ch aajabu kipi ? hata mitihani ya Marekani ipo kwa format ya kuchagua majibu, computer zinasahisha kwa urahisi
 
Kumekuwa na tabia iliyojizolea umaarufu kwa wahitimu wakimaliza vyuo wanarudi nyumbani na kushinda mitaani / mitandaoni bila shughuli maalum ya kuwafanya wajitegemee, muda huwa hausimami miaka inaenda unakuta mhitimu anagonga 28+ bado yupo kwao

Wengi huwa wanaona njia pekee ya kujitegemea ni kuajiriwa, hawapo tayari kufanya shughuli zingine utawasikia "nimeshatuma maombi ya kazi flani nasubiria interview", matokeo yake miaka inaenda mtu yupo kwao.

Shughuli nyingi wanazofanya Darasa la 7 / Form 4 hata wahitimu wanaziweza, ingekuwa vyema wahitimu waanze kujitafuta huku mapema,

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kuchoma mahindi , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa kunyoa , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa umama / ubaba ntilie , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?

Darasa la 7 / Form 4 anajitegemea kwa useremala , inakuwaje muhitimu anabaki kwao wakati nae anaweza ?
Kujitegemea si somo ila ni skills. Cheti wanapewa kuashiria wame complete series ya masomo fulani
 
Wapumzisheni graduate sasa.

Kila siku wasomi hivi....wasomi vile hawa jamaa ni kundi linalosimangwa sana siku hizi ila mnasahau jamii ndio iliyoshindwa kuwaanda wakajitegemee.
 
Back
Top Bottom