Hao wanaweza kwenda kuchota ziwani,tuko busy na ambako hakuna.ziwa kwanza 😁😁Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji?
Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao kazi yao ni ku issue tu bill kila mwezi na hakuna maji.
Hivi Mungu angetupa ukame tungeweza kuhimili kama maji yapo na tunashindwa kusambaza.
Serikali hii imechoka kabisa
Mwanza imetelekezwa...
Mwanza imetelekezwa...
Huduma nyingi za kijamii mwanza ni tia maji Sana.
😂😂😂 poleni bhangosha
Kazi inaendelea,Samia kawafikiaKazi iendeleee...
Tumesikia kilio chako kwa niaba ya wanamwanza wote.. hivyo bas kufikia 2080 tatizo hilo tutakua tumelimaliza mkuu!!Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji?
Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao kazi yao ni ku issue tu bill kila mwezi na hakuna maji.
Hivi Mungu angetupa ukame tungeweza kuhimili kama maji yapo na tunashindwa kusambaza.
Serikali hii imechoka kabisa.
Kwa nini Shujaa wao hakuwaletea maji? 🤣🤣cc johnthebaptistTumesikia kilio chako kwa niaba ya wanamwanza wote.. hivyo bas kufikia 2080 tatizo hilo tutakua tumelimaliza mkuu!!
Maji yalishaletwa na Laigwanan Edward Lowassa kitambo sana!Kwa nini Shujaa wao hakuwaletea maji? 🤣🤣cc johnthebaptist
Hawa wanalalamika nini? Ni vichwa au?Maji yalishaletwa na Laigwanan Edward Lowassa kitambo sana!
Wavivu tu haoHawa wanalalamika nini? Ni vichwa au?
Cc shujaa wenu 😂😂Wavivu tu hao
Fikiria hapa Magomeni Mburahati Maji kibao sasa Iweje Huko ziwani wakose Maji 😂😂
Kama Wagner hakuna kuremba 😆🔥Cc shujaa wenu 😂😂
Sijajua Waziri alitumia vigezo gani kumpa hiyo nafasi yule Dada,uwezo wa hiyo kazi hana,namfahamu alikuwa Meneja Uhusiano pale DAWASA Dar es salaam.Pia ni mpigaji mzuri sana kwenye fidia za Wananchi wakati wa miradi ya maji,walikuwa na kakikundi kao ka kudhurumu Wananchi fidia zao baada ya maeneo yao kutwaliwa na serikali.Aweso ameshakula kichwa cha mkurugenzi wa Mwauwasa tunasubiri mkurugenzi mpya mwanamama aliyewekwa hapo tuone namna alitafuna hill fupa,, Ila wafanyakazi wa Mwauwasa punguzeni ulevi mmezidi hadi mchana nyie ni kulewa tu mnatufungia mabomba yanapasuka tu hovyo hovyo,,
Kwamba jasiri haachi asili,,😂😂 ila wanasemaga shetani akizeeka anakuwa malaika,, tusubiriSijajua Waziri alitumia vigezo gani kumpa hiyo nafasi yule Dada,uwezo wa hiyo kazi hana,namfahamu alikuwa Meneja Uhusiano pale DAWASA Dar es salaam.Pia ni mpigaji mzuri sana kwenye fidia za Wananchi wakati wa miradi ya maji,walikuwa na kakikundi kao ka kudhurumu Wananchi fidia zao baada ya maeneo yao kutwaliwa na serikali.
Familia yetu pia ishapigwa kwenye mradi fulani na nimekwenda sana pale,ukifika wanapanga watu wa kuwadanganya watu kuwa wakubwa hawapo!
Sasa mtu kama huyo atawasaidia nini watu wa Mwanza!
Maji ya ziwa yakiingia kwenye mabomba Sato na Sangara wanayaziba.Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji?
Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao kazi yao ni ku issue tu bill kila mwezi na hakuna maji.
Hivi Mungu angetupa ukame tungeweza kuhimili kama maji yapo na tunashindwa kusambaza.
Serikali hii imechoka kabisa.
Wanasemaga mchawi mpe mwanao. Kama unayosema ni ya kweli basi akiendekeza ulafi kwa hiyo nafasi ataishia mikononi mwa Kaisari wa Butimba.Sijajua Waziri alitumia vigezo gani kumpa hiyo nafasi yule Dada,uwezo wa hiyo kazi hana,namfahamu alikuwa Meneja Uhusiano pale DAWASA Dar es salaam.Pia ni mpigaji mzuri sana kwenye fidia za Wananchi wakati wa miradi ya maji,walikuwa na kakikundi kao ka kudhurumu Wananchi fidia zao baada ya maeneo yao kutwaliwa na serikali.
Familia yetu pia ishapigwa kwenye mradi fulani na nimekwenda sana pale,ukifika wanapanga watu wa kuwadanganya watu kuwa wakubwa hawapo!
Sasa mtu kama huyo atawasaidia nini watu wa Mwanza!