Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji?
Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao kazi yao ni ku issue tu bill kila mwezi na hakuna maji.
Hivi Mungu angetupa ukame tungeweza kuhimili kama maji yapo na tunashindwa kusambaza.
Serikali hii imechoka kabisa.