GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano
Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu.
Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana.
Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo wanaloea huku huku.(hawarudi vijijini).
Ukipanda usafiri wowote humu jijini, utapishana nao wengi kila mahali.
Itashangaza kama kijana utakaa huna raha au unalialia eti kisa umeachwa.
Ingia bafuni, oga , vaa vizuri, ingia mtaani kutafuta pesa, "nyama utazikuta hukohuko zipo tele."
Tembea na hii kwa mwaka ujao, utakuja kunishukuru.