Ni aibu kubwa kwa miji yetu kukosa smoking zones

Ni aibu kubwa kwa miji yetu kukosa smoking zones

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Tukiachana na vyoo vya umma bado miji yetu inakosa kitu muhimu sana. SEHEMU ZA WATU KUVUTIA SIGARA.

Inakera sana kuona watu wakivuta sigara popote pale katikati ya mji na kuleta kero kwa wasiovuta.

Idara za afya kwenye miji yetu wanafanya nini kwenye nafasi zao kama jambo dogo kama hili linawashinda?

Tengenezeni sehemu za wavuta sigara kisha muwapige tozo kuingia hapo kuvuta sigara. Au ongezeni bei za sigara kupata pesa za kuendesha hizo sehemu. Sigara ziwe bei sawa na bia.

qboxqx7v1zmtqhs5c2742081904e.jpg
F150712NS03.jpg
 
Mkuu hata wewe anzisha halafu Kila anayekuja kukaa na kuvuta mtoze 200 kwa nusu saa
 
Back
Top Bottom