HANGAYA THE CHIEF
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 330
- 962
Wakiandika ya upinzani tu ndio wanakua professionals?Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari.
Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha, poleni sana waandishi mnakubali kuisaliti taaluma yenu kwa vipande thelathini vya fedha, ni aibu yenu na aibu ya taaluma yenu, kwa maisha yenu yote.
Mmeingia kwenye historia ya ajabu sana.
Nakala imfikie ndugu Pascal Mayalla
Please be specific, waandishi wa habari tumefanya nini?. Mimi ni mwandishi, nimeandika makala 4, kuhusu hili, tumepotosha wapi?, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari.
Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha, poleni sana waandishi mnakubali kuisaliti taaluma yenu kwa vipande thelathini vya fedha, ni aibu yenu na aibu ya taaluma yenu, kwa maisha yenu yote.
Mmeingia kwenye historia ya ajabu sana.
Bora umekuja mkuu, walikuwa wameanza kudhalilisha taaluma yenu kiujumla.Please be specific, waandishi wa habari tumefanya nini?. Mimi ni mwandishi, nimeandika makala 4, kuhusu hili, tumepotosha wapi?, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
P
Please don't!. Mtu mwenye hizi virtues Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” hawezi kuwa hivyo!.Vyombo vya habari navyo vinamlinda... Samia.
shida ndio inaanzia hapo, zembwela kasomea wapi uandishi wa habari?, na angalia wote wanaojifanya waandishi sio waliosoma hii taaluma, yaani hii taaluma ina vishoka wengi, waliosomea wenyewe wamewekwa pembeni, wanaotamalaki ni wahuni tu wapiga kelele kwenye viredioZembwela aatahabika sana kutetea bandari pale Wasafi,ametoka kabisa kwenye uhalisia wake,namuona Kitenge ndani ya Zembwela.