Mkuu mbona mimi nilishaondokaga zaman sana kwa yule mamampuuzi tu huyu jamaa anawekwa mjini na limama tena linamtaka kimapenzi vinginevyo anamwachisha kazi bloodful kabisa hivi lipi kher kula ugali wa shikamoo ama upate kibarua ama kazi inayokupa mkate wa siku na wengine tunao humu jf wakishukuru wamepata kazi kupitia jf kama umelewa balimi useme ushauriwe ...
Unaotoa wap ujasiri wa kutokua na aibu
Mkuu sinaga tabia ya kuandika barua et ndo nipate kazi mimi mapambana mwenyeweHapo unapo paita (umekaa job ghafla unao mwanaume anakuja kukuomba kazi).
Wakati unandika barua ya kuomba kazi, uliwaza kwamba barua yako ya kuomba kazi inatufikia wanaume wenzio na kisha tuakakupa kijikazi bacho leo kinakutia kiburi, jeuri na mijishauzi isiohaja....[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
...mbaf zako sana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kwan mkuu maisha yako yote lazima uish kwa kuajiliwaUtaeleweka vizuri ukitoa tafsiri ya kazi kwako. Kwangu nilichoelewa katika post yako,kazi ni kutenda ili baada ya tendo ulipwe ujira. Kama ndivyo ulivyomaanisha,je watumishi wetu wa umma wa kada mbalimbali na sekta binafsi huoni kama utakuwa umewadhalilisha? Mfano ukiomba kazi kwenye kampuni,ni sawa na kuomba kwa mwanaume/mwanamke kwani kampuni ilianzishwa na mtu ambaye aliweka mifumo ya kumfanyia kazi.
Tatizo la JF unakuta wewe uliyeandika huu upuuzi huna kibaruwa hata cha kuuza maji barabarani, ni kalubandike tu.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz
Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa
Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana
Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili
Nawasilisha
LONDON BABY
Mkuu usijione umefika safari bado hujui kesho itakuwaje acha kuzalau watu
nashukuru kwa kukubali hilo lakini ndugu yangu si unajua haya maisha ukiyaonea aibu nin kinafuata si tabu mtu kukuomba kazi maana anatafuta network ya kufanikisha ndoto zake sasa wewe umekuja kukandia kweli yani sio poa kabisa dahhh...Mkuu mbona mimi nilishaondokaga zaman sana kwa yule mama
unapambanaje ngoja nianzie hapo... ili wengine wafanyie kazi ushauri wako maana uko tani kuna vijana 20,000+ hawana ajira na wengine wamekata tamaa kabisa ya maisha na wana elimu za juu...Mkuu sinaga tabia ya kuandika barua et ndo nipate kazi mimi mapambana mwenyewe
Hiyo yote ni kutaka kutujulisha kwamba unakazi,,acha ushamba wewe na ukifa jizike mwenyeweAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz
Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa
Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana
Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili
Nawasilisha
LONDON BABY
Unaweza kuwa mtoto wa kiume lakini si Mwanamume. Wanaume hatuna akili ndogo kama za kwako, na hata ambao angalau Mungu ametubariki kiasi tunamrudishia shukrani Mungu, na hatuna dharau kwa wengine na note that there is permanent situation in life.Mimi mwanaume vp unataka mume
Hana kazi yoyote huyo ni Kalubandike tu, kuna watu Magufuli ameshawasababishia stress mtegemee sana vituko kama hivi hapa JF.Hiyo yote ni kutaka kutujulisha kwamba unakazi,,acha ushamba wewe na ukifa jizike mwenyewe