Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Unaweza kuwa mtoto wa kiume lakini si Mwanamume. Wanaume hatuna akili ndogo kama za kwako, na hata ambao angalau Mungu ametubariki kiasi tunamrudishia shukrani Mungu, na hatuna dharau kwa wengine na note that there is permanent situation in life.

Huu ushujaa wengi mlionao ni wa nyuma ya keyboard tu, lakini tukija kwenye maisha halisi unakuja kugunduwa wewe huna status yoyote ya karibu nami. Ishukuru JF ni Anonymous ID ingekuwa kama Facebook mngeumbuka wengi, wengine miili yenu afya mgogoro kwashakoo tupu, ukija JF Anonymous na Kitecno chako cha 60,000/= inakuwa shida tupu.
ahaaaaa nimeipenda hii kitecno..
 
Hakuna aibu wala ubaya wowote kuomba kazi kwani kazi hutoa kipato halali kitu kibaya kukataa kazi na kutaka vya dezo unaweza ukaiba au ukapakatwa.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
Ni aibu mwanaume kuomba hela sio aibu mwanaume kuomba kazi kwa kua ukimpa kazi na akapata hela basi hujampa hela bure, umemlipa hela baada ya kufanya kazi.
Ninahisi kwako mleta mada ni kwamba Mungu amekujalia kipato kidogo sasa unaona wanaume wenzako tukikuomba kazi unaona wewe una akili sana ndio maana unaombwa kazi, nikukumbushe tu hapa duniani tutafanya mbwembwe zote ila mwisho wa siku tutaoza na kuliwa na wadudu, pesa zote utaacha, usijione mali na kushindwa kusaidia wanaume wenzako.
Wanaume hawatupani, sijajua wewe ni jinsia gani.

Nikuulize wewe ukiwa na kazi nyingi mfano una kampuni ya ujenzi hizo kazi utazifanya peke yako au utaajiri wanawake peke yake na wanaume utakataa kwa kua wanatakiwa kupigana kivyao?

Kama mtazamo wako utaendelea kua hivyo basi wewe ni empty set.
Hata rais Magufuli alituomba kazi sembuse wewe mwanaume mwenzako kukuomba kibarua unaleta ushuzi jamiiforums?
 
Hana kazi yoyote huyo ni Kalubandike tu, kuna watu Magufuli ameshawasababishia stress mtegemee sana vituko kama hivi hapa JF.
Mkuu huyo si mwanaume ni katoto kakiume,,uwezi ukaleta dharau kiasi hiki afu unajiita mwanaume shenzi type
 
Siku zote, unachokiongea ndicho hukupima uwezo wako wa kufikiria kwa wenzako.
Hata waliotajirikia migodini lazima waliomba kazi Mkuu.
Mkuu, sijakubaliana na kauli yako.
 
Tatizo la JF unakuta wewe uliyeandika huu upuuzi huna kibaruwa hata cha kuuza maji barabarani, ni kalubandike tu.

Yupo mwenzako mmoja humu aliwahi kuandika upuuzi kama huu baadaye akajisahau anakuja na thread ya kuomba msaada wa pesa hapa hapa JF.

Kwa umri nilionao na uzoefu nilionao wa maisha, watu wa category yako huwa ni mafukara kupita maelezo na mnakabiriwa na msongo wa mawazo hivyo JF ndio sehemu yenu ya kujifariji.
Mimi nikose kibarua hunijui siyo
 
Tangu awali niliwaeleza huyu mtu anasumbuliwa na msongo wa mawazo na Magufuli ameshalala naye mbele, ni mtu anayehitaji msaada na maisha yameshampigia.

Nimemfanyia vetting kwenye profile yake kwanza ni katoto kalikozaliwa Mwaka 1992, mimi niko O level miaka hiyo, pili huyu mtoto ana stress na life hili la Anko Magu ambalo linahitaji watu smart kichwani kuweza kulimudu katika kipindi hiki cha mpito.

Kama kawaida JF ni sehemu ya fact and evidence mjionee wenyewe huyu mtoto ni mtu wa aina gani, ni wa kuonewa huruma tu.

Ingieni kwenye hii link muone stress zinazomsumbuwa, wakati anaponda wanaoomba kazi yeye maisha yameshamshinda jumla.

Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu
 
nashukuru kwa kukubali hilo lakini ndugu yangu si unajua haya maisha ukiyaonea aibu nin kinafuata si tabu mtu kukuomba kazi maana anatafuta network ya kufanikisha ndoto zake sasa wewe umekuja kukandia kweli yani sio poa kabisa dahhh...
Mkuu wangu iv wewe kama wewe huwez kujiajiri had uende kwa jemba kuomba kaz mtaji hata elf tano unatosha mkuu
 
unapambanaje ngoja nianzie hapo... ili wengine wafanyie kazi ushauri wako maana uko tani kuna vijana 20,000+ hawana ajira na wengine wamekata tamaa kabisa ya maisha na wana elimu za juu...
Mkuu ni mpambanaji kilimo kimenitoa sana had sasa ninabishara zangu nyingi tu na sijawahi kuomba ujira kwa jemba yoyoye yule
 
Unaweza kuwa mtoto wa kiume lakini si Mwanamume. Wanaume hatuna akili ndogo kama za kwako, na hata ambao angalau Mungu ametubariki kiasi tunamrudishia shukrani Mungu, na hatuna dharau kwa wengine na note that there is permanent situation in life.

Huu ushujaa wengi mlionao ni wa nyuma ya keyboard tu, lakini tukija kwenye maisha halisi unakuja kugunduwa wewe huna status yoyote ya kuwa karibu nami. Ishukuru JF ni Anonymous ID ingekuwa kama Facebook mngeumbuka wengi, wengine miili yenu afya ni mgogoro kwashakoo tupu, ukija JF Anonymous na Kitecno chako cha 60,000/= inakuwa shida tupu.
Wewe umebalikiwa nini mkuu kutwa nzima kulia lia humu ndan
 
Hana kazi yoyote huyo ni Kalubandike tu, kuna watu Magufuli ameshawasababishia stress mtegemee sana vituko kama hivi hapa JF.
Mkuu mimi nimeajir mwenyewe kwahiyo sitak kaz usiniweke kwenye kundi la waajiriwa
 
Wanauchumi watakuona umeongea utumbo mpaka bac,
Hujui kama unaanza kujiajiri baadae unaajir watu as second stage, kama human resources waanze kuona aibu biashara na viwanda vitaendeshwa na mtu mmoja??umeleta uzi Pumba kabsa!
Atajutraaaa huko aliko
 
Back
Top Bottom