Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA LEO HII IMETANGAZA NAFASI ZA KAZI 145 KWA NAFASI YA CUSTOMS OFFICER.SIFA ZA MUOMBAJI NI KUANZIA KIDATO CHA NNE MPAKA MASTAR DEGREE.BONYEZA HAPA KUOMBA KAZI>>>>JOB VACANCY:145 JOB POSITIONS AT TRA.CLICK HERE TO APPLY NOW - GAFLA TZ TAFADHARI SHARE NA MARAFIKI
LIKE PAGE HII KWA HABARI ZA MANUFAA TU
Hiki ndo mlichobakiza kutuma makaratas yenu mnayoyaita barua za kaz polen sana vijana token nje ya box muone maisha yalivyo simple yaan ni kujipigia hela tu

Kutwa nzims mnawaza kuajiriwa tu polen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kwasababu mimi kila siku kuna watu wananiomba kazi ila sikuwahi kufikiria kuwa ni kosa kama mleta mada alivyonena.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
Wewe uliyejiajiri,Kwenye hiyo sijui biashara yako whatever hujaajiri wanaume?..If yes,Huani kama unawatusi staff wako?
 
TOKA MWAKA HUU UANZE SIONA UZI WA AJABU KAMA HUU WW JAMAA UTAKUA NI MACHICHA A MBEGE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kwasababu mimi kila siku kuna watu wananiomba kazi ila sikuwahi kufikiria kuwa ni kosa kama mleta mada alivyonena.
Ni kosa kubwa sana mkuu
 
Mkuu omba radhi mapema kabla hunapata comment za kukuvua nguo ubaki uchi.. kwani hujui maisha ya sasa yanataka kusaidiana kwa kila namna???
 
Mkuu umeandika pointless... Hata Mtoto wa primary atakuzarau...
Aibuu ya mwanaume nikuomba pesaa..!!
Ila kuombaa kazii hakuna tatizo wewe labda ukitaka sisi wanaume tuwetunaomba nini..???
 
Hawa ni wale madogo ambao wamesota mda sana kitaa. Wamezuzura na bahasha mpaka amebahatika kupata kazi.

Sasa basi mtajuaje zamu yake imefika? Ni kwa kiburi kama hiki ambacho hakina maana kabisa.
 
Hahahaaa! Huyu jamaa hajitambui kabisa ndio maana mwishoni mwa huo upupu wake kaandika anajiita "LONDON BABY" sio buree huyu kuna kitu,,,,,,
Possibly mleta uzi anatumia kiungo kingine kufikiria tofauti na kichwa
 
Back
Top Bottom