Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

ahaaaaa nimeipenda hii kitecno..
 
Hakuna aibu wala ubaya wowote kuomba kazi kwani kazi hutoa kipato halali kitu kibaya kukataa kazi na kutaka vya dezo unaweza ukaiba au ukapakatwa.
 
Ni aibu mwanaume kuomba hela sio aibu mwanaume kuomba kazi kwa kua ukimpa kazi na akapata hela basi hujampa hela bure, umemlipa hela baada ya kufanya kazi.
Ninahisi kwako mleta mada ni kwamba Mungu amekujalia kipato kidogo sasa unaona wanaume wenzako tukikuomba kazi unaona wewe una akili sana ndio maana unaombwa kazi, nikukumbushe tu hapa duniani tutafanya mbwembwe zote ila mwisho wa siku tutaoza na kuliwa na wadudu, pesa zote utaacha, usijione mali na kushindwa kusaidia wanaume wenzako.
Wanaume hawatupani, sijajua wewe ni jinsia gani.

Nikuulize wewe ukiwa na kazi nyingi mfano una kampuni ya ujenzi hizo kazi utazifanya peke yako au utaajiri wanawake peke yake na wanaume utakataa kwa kua wanatakiwa kupigana kivyao?

Kama mtazamo wako utaendelea kua hivyo basi wewe ni empty set.
Hata rais Magufuli alituomba kazi sembuse wewe mwanaume mwenzako kukuomba kibarua unaleta ushuzi jamiiforums?
 
Hana kazi yoyote huyo ni Kalubandike tu, kuna watu Magufuli ameshawasababishia stress mtegemee sana vituko kama hivi hapa JF.
Mkuu huyo si mwanaume ni katoto kakiume,,uwezi ukaleta dharau kiasi hiki afu unajiita mwanaume shenzi type
 
Siku zote, unachokiongea ndicho hukupima uwezo wako wa kufikiria kwa wenzako.
Hata waliotajirikia migodini lazima waliomba kazi Mkuu.
Mkuu, sijakubaliana na kauli yako.
 
Mimi nikose kibarua hunijui siyo
 
Tangu awali niliwaeleza huyu mtu anasumbuliwa na msongo wa mawazo na Magufuli ameshalala naye mbele, ni mtu anayehitaji msaada na maisha yameshampigia.

Nimemfanyia vetting kwenye profile yake kwanza ni katoto kalikozaliwa Mwaka 1992, mimi niko O level miaka hiyo, pili huyu mtoto ana stress na life hili la Anko Magu ambalo linahitaji watu smart kichwani kuweza kulimudu katika kipindi hiki cha mpito.

Kama kawaida JF ni sehemu ya fact and evidence mjionee wenyewe huyu mtoto ni mtu wa aina gani, ni wa kuonewa huruma tu.

Ingieni kwenye hii link muone stress zinazomsumbuwa, wakati anaponda wanaoomba kazi yeye maisha yameshamshinda jumla.

Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu
 
nashukuru kwa kukubali hilo lakini ndugu yangu si unajua haya maisha ukiyaonea aibu nin kinafuata si tabu mtu kukuomba kazi maana anatafuta network ya kufanikisha ndoto zake sasa wewe umekuja kukandia kweli yani sio poa kabisa dahhh...
Mkuu wangu iv wewe kama wewe huwez kujiajiri had uende kwa jemba kuomba kaz mtaji hata elf tano unatosha mkuu
 
unapambanaje ngoja nianzie hapo... ili wengine wafanyie kazi ushauri wako maana uko tani kuna vijana 20,000+ hawana ajira na wengine wamekata tamaa kabisa ya maisha na wana elimu za juu...
Mkuu ni mpambanaji kilimo kimenitoa sana had sasa ninabishara zangu nyingi tu na sijawahi kuomba ujira kwa jemba yoyoye yule
 
Wewe umebalikiwa nini mkuu kutwa nzima kulia lia humu ndan
 
Hana kazi yoyote huyo ni Kalubandike tu, kuna watu Magufuli ameshawasababishia stress mtegemee sana vituko kama hivi hapa JF.
Mkuu mimi nimeajir mwenyewe kwahiyo sitak kaz usiniweke kwenye kundi la waajiriwa
 
Wanauchumi watakuona umeongea utumbo mpaka bac,
Hujui kama unaanza kujiajiri baadae unaajir watu as second stage, kama human resources waanze kuona aibu biashara na viwanda vitaendeshwa na mtu mmoja??umeleta uzi Pumba kabsa!
Atajutraaaa huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…