Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Hiki ndo mlichobakiza kutuma makaratas yenu mnayoyaita barua za kaz polen sana vijana token nje ya box muone maisha yalivyo simple yaan ni kujipigia hela tu

Kutwa nzims mnawaza kuajiriwa tu polen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kwasababu mimi kila siku kuna watu wananiomba kazi ila sikuwahi kufikiria kuwa ni kosa kama mleta mada alivyonena.
 
Wewe uliyejiajiri,Kwenye hiyo sijui biashara yako whatever hujaajiri wanaume?..If yes,Huani kama unawatusi staff wako?
 
TOKA MWAKA HUU UANZE SIONA UZI WA AJABU KAMA HUU WW JAMAA UTAKUA NI MACHICHA A MBEGE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kwasababu mimi kila siku kuna watu wananiomba kazi ila sikuwahi kufikiria kuwa ni kosa kama mleta mada alivyonena.
Ni kosa kubwa sana mkuu
 
Mkuu omba radhi mapema kabla hunapata comment za kukuvua nguo ubaki uchi.. kwani hujui maisha ya sasa yanataka kusaidiana kwa kila namna???
 
Mkuu umeandika pointless... Hata Mtoto wa primary atakuzarau...
Aibuu ya mwanaume nikuomba pesaa..!!
Ila kuombaa kazii hakuna tatizo wewe labda ukitaka sisi wanaume tuwetunaomba nini..???
 
Hawa ni wale madogo ambao wamesota mda sana kitaa. Wamezuzura na bahasha mpaka amebahatika kupata kazi.

Sasa basi mtajuaje zamu yake imefika? Ni kwa kiburi kama hiki ambacho hakina maana kabisa.
 
Hahahaaa! Huyu jamaa hajitambui kabisa ndio maana mwishoni mwa huo upupu wake kaandika anajiita "LONDON BABY" sio buree huyu kuna kitu,,,,,,
Possibly mleta uzi anatumia kiungo kingine kufikiria tofauti na kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…