Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaaa wanao wanaandika magazeti huku baada ya kusema huwa unapita huku [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamaaa wanao wanaandika magazeti huku baada ya kusema huwa unapita huku [emoji23]
Nani kakwambia kuwa Nina njaa ya chakulaWewe nawe na namba zako za simu , unataka kumtumia Lema kupata chakula?. Yani wewe Ili uishi ni lazima useme watu?.
Mshana Jr ndugu yangu nakushauri kuwa huyo Lema msipomfunga breki za mdomo wake anakwenda kuwatukana hata nyie,
Siku atakapokutapikia matusi yake ndio akiri yako itakukaa sawaHivi unaelewa maana ya tusi na maoni?
Nani kakwambia kuwa Nina njaa ya chakula
Siku atakapokutapikia matusi yake ndio akiri yako itakukaa sawa
Mimi Ni mkulima na NAJIVUNIA kuwa mkulimaNjaa tu. Katafute kazi ya kufanya kuliko kuongelea wanaume wenzako.
Nashukuru kwa marekebishoSio akiri ni akili. Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?. By Faiza Foxx
Lema Ni limbukeni
Ndio Lema Ni limbukeniAisee, unamuita Lema Limbukeni?. Kweli wewe ni janga.
Nani kakwambia kuwa Nina njaa ya chakula
Mimi Ni mkulima na NAJIVUNIA kuwa mkulima
Ndio Lema Ni limbukeni
Na kama hao watu wanawaza maisha ya watu?Tafuta walau shughuli za kufanya uache kuwaza maisha ya watu.
NduguNdugu zangu watanzania,
Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi,Ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake, Ndio Nguzo ya chama,Ndio Tumaini la Chama,Ndio Ngome ya chama,Ndio moyo wa chama wenyewe,Ndio kioo Cha chama.
Hata ukitaka kukiteka chama chochote kile Basi wewe iteke na kuiweka mfukoni mwako kamati kuu ya chama na wajumbe wake, Ilevye kwanza kamati kuu tu utakuwa umekilevya chama chote mpaka mashinani,penyeza mkono wako na vidole vyako kamati kuu na utakuwa umekishika chama chote mateka na kubaki Unasikilizwa wewe tu Kama mfalme hata Kama wewe siyo mjumbe wake kwa sababu kamati kuu ndio sauti ya chama na hivyo ukiishika na Kuiteka hii Basi wajumbe wote wataongea kwa niaba yako Kama makasuku tu,Hii ndio maana halisi ya siasa ni hesabu Na Ni sayansi.
Kwa mantiki hiyo wajumbe wa kamati kuu Taifa wanapaswa kuchaguliwa kwa umakini mkubwa Sana,Nidhamu kubwa Sana,weledi mkubwa Sana kwa kuwa hao ndio waanzisha na wasambaza Sera itikadi falsafa na ajenda za chama na ndio chama chenyewe na hata ukitaka kukivuruga na kukisambaratisha chama Basi wewe wavuruge na kuisambaratisha kamati kuu.
Wajumbe wake katika kuchaguliwa kwake wanapaswa kuwa Ni watu wenye busara hekima unyenyekevu upeo maarifa na wanaokijuwa chama na historia ya chama, watulivu wa akili,wenye vifua vya kiuongozi na siyo vifua vya kufungia vifungo vya mashati,wanaojuwa wazungumze Nini mbele ya kadamnasi na halaiki ya watu,wanaojuwa kuchambuaa na kuchagua maneno mbele za watu na wanaojiandaa kabla ya kuzungumza.
Nikimtizama na kumfuatilia Godbless Lema mjumbe wa kamati kuu ya Chadema nashindwa kuelewa alipitaje na kushinda kuwa Mjumbe wa kamati kuu,sielewi Ni vipi jina lake lilipitishwa ili agombee,sijuwi Ni busara ipi ilitumika kumpendekeza Lena,maana Ni mtu na kiongozi ambaye ingekuwa Ni CCM asingeweza kuwa hata mjumbe wa kamati ya CCM ngazi ya Tawi, maana Lema Ni mtu asiye Hekima Wala busara Hana adabu Wala staha,mdomo wake hauna chujio la kiuongozi,Hana breki Wala nati za kuufung mdomo wake pasipo stahiki kuzungumza,ujasiri wake upo katika ujinga na maneno ya kijinga na karaha mbele za watu wenye busara na hekima,Hana muunganiko mzuri wa ubongo wake na mdomo wake ndio sababu anaweza kuropoka chochote na lolote lile.
Huwezi ukapata chochote Wala maarifa yoyote kutoka kwa Lema ,usije ukathubuti ukamwambia Siri yoyote Ile Lema maana itakuwa Ni sawa na kutamka Jambo Hilo katika makutano ya watu njia panda,maana kesho Ni lazima ataropoka jukwaani au bar.
Leo Lema amerejea kutoka Canada na kuja Tanzania na kuanza kuwatukana watanzania,kuwadhalilisha watanzania,kuwakebehi watanzania,kuwatupia kila aina ya maneno ya kuudhi na kutia hasira, Hii Ni Baada ya kusahau namna vijana anaowatukana leo walivyompigania Arusha,walivyokesha viwanjani ili atolewe gerezani,walivyohatarisha maisha Yao, walivyo pigwa mabomu ya machozi na virungu kwa sababu yake,Amesahau michango alivyokuwa akichangiwa na akina mama wa vicoba bodaboda n.k walivyomsaidia kwa michango Yao ya Hali na Mali kumchangia,lakini leo anasema Ni maskini na wanalaana.
Hili Ni doa kwa chama chote Cha chadema,Ni dharau,Ni kauli ya chama chote Cha chadema kwa kuwa haijajitenga na kauli hii ya mjumbe wake wa kamati kuu.
Imeandikwa Amdhihakiye maskini humsuta muumba wake Na Amhurumiaye maskini humkopesha Mwenyezi MUNGU na atalipwa kwa Jambo Hilo jema, Dharau za Lema kwa watanzania Ni dhihaka kwa Mwenyezi Mungu ,Ni dharau kwa muumba ambaye siku zote Tangu Enzi na Enzi Mwenyezi MUNGU amekuwa akiwatazama kwa jicho la huruma na upendo.
Lema na chadema yake watwambie Ni nchi gani isiyo na maskini? Ni Taifa lipi lisilo na maskini? Ni wapi huko? Au kwa kuwa yeye Ameukata na kushiba Kodi zetu kwa miaka yake ya ubunge ndio unamfanya aje atutukane watanzania? Ndio unamfanya ajione mwenye Heri? Mbarikiwa? Kupata Ni Majaliwa ya Mwenyezi MUNGU na anayetoa ridhiki Ni Mwenyezi MUNGU ,Sasa kwanini aje kuwatukana watanzania kwa kuwa yeye kapata? Kwanini awaone watoto wa wenziye wanaojihangaikia mitaani kujitafutia ridhiki zao kwa njia Halali kuwa wamelaaniwa? Anajuwa mtoto wake maisha atakayo ishi huko siku za usoni? Anafikiri haa anaosema wamelaaniwa walipenda wawe hivyo? Kwamba Mungu kawalaani watu wake aliowaumbA kwa mfano wake?
Chadema inapaswa imuonye Lema na kumvua nafasi za uongozi alizonazo ndani ya chama kwa matendo yake na kauli zake za kifedhuli na kibuli kwa watanzania,maana nje na hapo itaonekana Ni msimamo wa chama dhidi ya watanzania waliowafikisha hapo walipo ambapo Sasa wamelewa na pesa walizo nazo.
Ni Bora jina Jema kuliko Mali nyingi,Njia ya mpumbavu imenyooka machoni pake pekee, Mali na fedha Ni vya kupita tu, mtu hukumbukwa kwa utu wake na siyo Mali alizo nazo maana hizo si kitu na hupukutika Kama Maua juani.
Msifadhaike mioyoni mwenu watanzania kwa kauli hizi za ujeuri za chadema maana IPO CCM yenye uchungu na maisha yenu,yenye kujuwa shida na kero zenu,yenye kujuwa kuwa maisha Ni hatua ,yenye kuhangaika juu ya maisha yenu,yenye kukosa usingizi juu ya changamoto zenu,Tuiamini na kuiunga mkono ituvushe kwa kuwa imeonyesha uwezo wa kiuongozi katika kuwatumikia na kuwaleteeni maendeleo.
Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania na Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo, Tuendelee kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kufunga na kuomba ili mwenyezi Mungu ampiganie na kumlinda Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ,Tumwamini na tumpe ushirikiano wetu wote.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Wachaga tunapenda sana hatakama ni mbumbuNdugu zangu watanzania,

Lema ndio tegemeo la Chadema na nchi siku zijazo.Ndugu zangu watanzania,

baada ya nyuz zako za kumsifia mamayenu kudoda akili imekurudi na kuanza kumwandika mwanaume wa shoka aliyetupa kombora dogo la bodaboda nguruwe wote wa ccm mkachanganyikiwa na bado 2025 lazima muwe vichaa maana msipoteuliwa sasa hivi hamtaona uteuz tena wajinga nyinyi.Ndugu zangu watanzania,

.Kweli, tena kwa kuhadaa. Ati alisema 'hamtukani Raisi na Waziri Mkuu' wengine wote......Leo Lema amerejea kutoka Canada na kuja Tanzania na kuanza kuwatukana watanzania,kuwadhalilisha watanzania,kuwakebehi watanzania,kuwatupia kila aina ya maneno ya kuudhi na kutia hasira,
Bila Shaka sifa ya kuwa mwana chadema Ni lazima uwe na kinywa kichafu Cha kutukana matusi utafikiri umekatika mishipa ya fahamu Kama ulivyo wewebaada ya nyuz zako za kumsifia mamayenu kudoda akili imekurudi na kuanza kumwandika mwanaume wa shoka aliyetupa kombora dogo la bodaboda nguruwe wote wa ccm mkachanganyikiwa na bado 2025 lazima muwe vichaa maana msipoteuliwa sasa hivi hamtaona uteuz tena wajinga nyinyi.