Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Labda tegemeo la matusiLema ndio tegemeo la Chadema na nchi siku zijazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tegemeo la matusiLema ndio tegemeo la Chadema na nchi siku zijazo.
Lema hataki ,anataka uwe kamnda tuMimi Ni mkulima na najisikia fahari kuwa mkulima na Ni kazi ya heshima Enzi na enzi
Lema Amesahau Hali yake ya kimaisha aliyokuwa nayo awaliLema hataki ,anataka uwe kamnda tu
Nini maana ya nabiiLema ni nabiii mpeni heshima yake
Baada ya kuambiwa Mama anapitaga humu? Utaacha sana number za simuNdugu zangu watanzania,
Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi,Ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake, Ndio Nguzo ya chama,Ndio Tumaini la Chama,Ndio Ngome ya chama,Ndio moyo wa chama wenyewe,Ndio kioo Cha chama.
Hata ukitaka kukiteka chama chochote kile Basi wewe iteke na kuiweka mfukoni mwako kamati kuu ya chama na wajumbe wake, Ilevye kwanza kamati kuu tu utakuwa umekilevya chama chote mpaka mashinani,penyeza mkono wako na vidole vyako kamati kuu na utakuwa umekishika chama chote mateka na kubaki Unasikilizwa wewe tu Kama mfalme hata Kama wewe siyo mjumbe wake kwa sababu kamati kuu ndio sauti ya chama na hivyo ukiishika na Kuiteka hii Basi wajumbe wote wataongea kwa niaba yako Kama makasuku tu,Hii ndio maana halisi ya siasa ni hesabu Na Ni sayansi.
Kwa mantiki hiyo wajumbe wa kamati kuu Taifa wanapaswa kuchaguliwa kwa umakini mkubwa Sana,Nidhamu kubwa Sana,weledi mkubwa Sana kwa kuwa hao ndio waanzisha na wasambaza Sera itikadi falsafa na ajenda za chama na ndio chama chenyewe na hata ukitaka kukivuruga na kukisambaratisha chama Basi wewe wavuruge na kuisambaratisha kamati kuu.
Wajumbe wake katika kuchaguliwa kwake wanapaswa kuwa Ni watu wenye busara hekima unyenyekevu upeo maarifa na wanaokijuwa chama na historia ya chama, watulivu wa akili,wenye vifua vya kiuongozi na siyo vifua vya kufungia vifungo vya mashati,wanaojuwa wazungumze Nini mbele ya kadamnasi na halaiki ya watu,wanaojuwa kuchambuaa na kuchagua maneno mbele za watu na wanaojiandaa kabla ya kuzungumza.
Nikimtizama na kumfuatilia Godbless Lema mjumbe wa kamati kuu ya Chadema nashindwa kuelewa alipitaje na kushinda kuwa Mjumbe wa kamati kuu,sielewi Ni vipi jina lake lilipitishwa ili agombee,sijuwi Ni busara ipi ilitumika kumpendekeza Lena,maana Ni mtu na kiongozi ambaye ingekuwa Ni CCM asingeweza kuwa hata mjumbe wa kamati ya CCM ngazi ya Tawi, maana Lema Ni mtu asiye Hekima Wala busara Hana adabu Wala staha,mdomo wake hauna chujio la kiuongozi,Hana breki Wala nati za kuufung mdomo wake pasipo stahiki kuzungumza,ujasiri wake upo katika ujinga na maneno ya kijinga na karaha mbele za watu wenye busara na hekima,Hana muunganiko mzuri wa ubongo wake na mdomo wake ndio sababu anaweza kuropoka chochote na lolote lile.
Huwezi ukapata chochote Wala maarifa yoyote kutoka kwa Lema ,usije ukathubuti ukamwambia Siri yoyote Ile Lema maana itakuwa Ni sawa na kutamka Jambo Hilo katika makutano ya watu njia panda,maana kesho Ni lazima ataropoka jukwaani au bar.
Leo Lema amerejea kutoka Canada na kuja Tanzania na kuanza kuwatukana watanzania,kuwadhalilisha watanzania,kuwakebehi watanzania,kuwatupia kila aina ya maneno ya kuudhi na kutia hasira, Hii Ni Baada ya kusahau namna vijana anaowatukana leo walivyompigania Arusha,walivyokesha viwanjani ili atolewe gerezani,walivyohatarisha maisha Yao, walivyo pigwa mabomu ya machozi na virungu kwa sababu yake,Amesahau michango alivyokuwa akichangiwa na akina mama wa vicoba bodaboda n.k walivyomsaidia kwa michango Yao ya Hali na Mali kumchangia,lakini leo anasema Ni maskini na wanalaana.
Hili Ni doa kwa chama chote Cha chadema,Ni dharau,Ni kauli ya chama chote Cha chadema kwa kuwa haijajitenga na kauli hii ya mjumbe wake wa kamati kuu.
Imeandikwa Amdhihakiye maskini humsuta muumba wake Na Amhurumiaye maskini humkopesha Mwenyezi MUNGU na atalipwa kwa Jambo Hilo jema, Dharau za Lema kwa watanzania Ni dhihaka kwa Mwenyezi Mungu ,Ni dharau kwa muumba ambaye siku zote Tangu Enzi na Enzi Mwenyezi MUNGU amekuwa akiwatazama kwa jicho la huruma na upendo.
Lema na chadema yake watwambie Ni nchi gani isiyo na maskini? Ni Taifa lipi lisilo na maskini? Ni wapi huko? Au kwa kuwa yeye Ameukata na kushiba Kodi zetu kwa miaka yake ya ubunge ndio unamfanya aje atutukane watanzania? Ndio unamfanya ajione mwenye Heri? Mbarikiwa? Kupata Ni Majaliwa ya Mwenyezi MUNGU na anayetoa ridhiki Ni Mwenyezi MUNGU ,Sasa kwanini aje kuwatukana watanzania kwa kuwa yeye kapata? Kwanini awaone watoto wa wenziye wanaojihangaikia mitaani kujitafutia ridhiki zao kwa njia Halali kuwa wamelaaniwa? Anajuwa mtoto wake maisha atakayo ishi huko siku za usoni? Anafikiri haa anaosema wamelaaniwa walipenda wawe hivyo? Kwamba Mungu kawalaani watu wake aliowaumbA kwa mfano wake?
Chadema inapaswa imuonye Lema na kumvua nafasi za uongozi alizonazo ndani ya chama kwa matendo yake na kauli zake za kifedhuli na kibuli kwa watanzania,maana nje na hapo itaonekana Ni msimamo wa chama dhidi ya watanzania waliowafikisha hapo walipo ambapo Sasa wamelewa na pesa walizo nazo.
Ni Bora jina Jema kuliko Mali nyingi,Njia ya mpumbavu imenyooka machoni pake pekee, Mali na fedha Ni vya kupita tu, mtu hukumbukwa kwa utu wake na siyo Mali alizo nazo maana hizo si kitu na hupukutika Kama Maua juani.
Msifadhaike mioyoni mwenu watanzania kwa kauli hizi za ujeuri za chadema maana IPO CCM yenye uchungu na maisha yenu,yenye kujuwa shida na kero zenu,yenye kujuwa kuwa maisha Ni hatua ,yenye kuhangaika juu ya maisha yenu,yenye kukosa usingizi juu ya changamoto zenu,Tuiamini na kuiunga mkono ituvushe kwa kuwa imeonyesha uwezo wa kiuongozi katika kuwatumikia na kuwaleteeni maendeleo.
Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania na Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo, Tuendelee kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kufunga na kuomba ili mwenyezi Mungu ampiganie na kumlinda Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ,Tumwamini na tumpe ushirikiano wetu wote.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Sasa wewe unakaa huko Burigi kwa hiyo hata habari za dunia unategemea kulishwa kwa kusoma Uhuru na Mzalendo huku watu wa Arusha aka A town ndio wako duniani, halafu wao ndio wanamuelewa vyema Lema na kumkubali sana.Bila Shaka sifa ya kuwa mwana chadema Ni lazima uwe na kinywa kichafu Cha kutukana matusi utafikiri umekatika mishipa ya fahamu Kama ulivyo wewe
Hakuna wa kumpigia kura mtu Kama Lema kwa sasaSasa wewe unakaa huko Burigi kwa hiyo hata habari za dunia unategemea kulishwa kwa kusoma Uhuru na Mzalendo huku watu wa Arusha aka A town ndio wako duniani, halafu wao ndio wanamuelewa vyema Lema na kumkubali sana.
Kaa chini kitafakari wewe ni nani kama sio empty head?
mjumbe ni mamako tu mwenye akili huko sukuma gang.Hivi pale cdm kuna mjumbe mwenye akili kweli?
unafikir kura zinapigwa na familia yako huko lumumba kwa majiz ya kura kamuulize yule mchoma masoko kule Arusha anavyojambajamba.Hakuna wa kumpigia kura mtu Kama Lema kwa sasa
huku hujui kama wewe mtandao ulishapoteza muda mrefu ndio maana hata mamayenu pamoja na kuandika nyuz ndefu amekupuuza maana amekugundua ni chiz linaandika.Amekuwa Kama kapoteza mtandao kichwani mwake
Samia amegundua chiz huwa linamsifia hivyo amekupuuza hata Udas ameona hufai.Ndege wafananao huruka pamoja,Maria sarungi hajawahi kufurahia mafanikio ya serikali yetu maana kula ya Tumbo lake inategemea upotoshaji wa makusudi na propaganda kupitia space zake ili akaombee pesa kwa wazungu,kwa Sasa Kasi ya mh Rais na kukubalika kwake na kuungwa mkono na watanzania wa makundi yote kumemchanganya Sana maria
kwamba kwa kitila mkumbo na tulia ndio unaweza kupata maarifa, ccm kweli ni mazwazwa.Kweli kabisa. Hakuna. Ila Anataka vita. Ataipata.
Wana nihusu kivipi?kwamba kwa kitila mkumbo na tulia ndio unaweza kupata maarifa, ccm kweli ni mazwazwa.
CCM itapita kwa kishindo katika kila Jimbo,itazoa Kura zote maana Hakuna wa kuwapigia Kura watu Kama nyie msio na muelekeo Wala dira ,Nyie lazima muongozwe tu mtake msitake lazima muongozwe tuu, maana hamna namna Zaid ya hiyo kwa kuwa mkiachwa hivi hivi ni hasara kwanTaifa maana nyie Ni Kama vipofuunafikir kura zinapigwa na familia yako huko lumumba kwa majiz ya kura kamuulize yule mchoma masoko kule Arusha anavyojambajamba.
Tafuta pesa wewe acha ujinga ujinga black man,
Kwa akili yako unafikiri napewa vocha bure za kuunga bando? Kama sitafuti pesa unafikiri ningekuwa na uwezo wa kununua vocha na kuingia hapa?Tafuta pesa wewe acha ujinga ujinga black man,
Kasi ya mh Rais imewakata pumzi yenu , watanzania wamewapuuzeni na kuamua kumuunga mkono mh Rais baada ya kutambua kuwa nyie Ni wa kuongozwa tuu,Hakuwezi kupigiwa hata kura nyie na mtanzania mwenye akili timamu ,Samia amegundua chiz huwa linamsifia hivyo amekupuuza hata Udas ameona hufai.
Maandishi yako tu yanaonyesha namna ulivyojikatia Tamaa,Inaonyesha Ni mtu uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako ,unaandika ukiwa na hasira na jazba kubwa Sana ,hata hivyo nakupuuza na kukusamehe maana najuwa bado hujakomaa kiakili japo unaweza ukawa mkubwa kwa mwili na kichwahuku hujui kama wewe mtandao ulishapoteza muda mrefu ndio maana hata mamayenu pamoja na kuandika nyuz ndefu amekupuuza maana amekugundua ni chiz linaandika.
Pumbaf nenda kawashauri ccm wawatimue wabunge wote hasa wale waliokamatwa na nyara za serikaliNdugu zangu Watanzania,
Kamati kuu ya chama chochote kile ndio chombo Cha juu kabisa Cha kimaamuzi, ndio Taswira ya chama husika,Ndio Nembo ya chama,,Ndicho kitoacho muelekeo na misimamo yake, Ndio Nguzo ya chama,Ndio Tumaini la Chama,Ndio Ngome ya chama,Ndio moyo wa chama wenyewe, ndio kioo cha chama.
Hata ukitaka kukiteka chama chochote kile Basi wewe iteke na kuiweka mfukoni mwako kamati kuu ya chama na wajumbe wake, Ilevye kwanza kamati kuu tu utakuwa umekilevya chama chote mpaka mashinani, penyeza mkono wako na vidole vyako kamati kuu na utakuwa umekishika chama chote mateka na kubaki Unasikilizwa wewe tu kama mfalme hata Kama wewe siyo mjumbe wake kwa sababu kamati kuu ndio sauti ya chama na hivyo ukiishika na Kuiteka hii Basi wajumbe wote wataongea kwa niaba yako Kama makasuku tu,Hii ndio maana halisi ya siasa ni hesabu na ni sayansi.
Kwa mantiki hiyo wajumbe wa kamati kuu Taifa wanapaswa kuchaguliwa kwa umakini mkubwa Sana,Nidhamu kubwa Sana, weledi mkubwa Sana kwa kuwa hao ndio waanzisha na wasambaza Sera itikadi falsafa na ajenda za chama na ndio chama chenyewe na hata ukitaka kukivuruga na kukisambaratisha chama Basi wewe wavuruge na kuisambaratisha kamati kuu.
Wajumbe wake katika kuchaguliwa kwake wanapaswa kuwa Ni watu wenye busara hekima unyenyekevu upeo maarifa na wanaokijuwa chama na historia ya chama, watulivu wa akili,wenye vifua vya kiuongozi na siyo vifua vya kufungia vifungo vya mashati,wanaojuwa wazungumze Nini mbele ya kadamnasi na halaiki ya watu,wanaojuwa kuchambuaa na kuchagua maneno mbele za watu na wanaojiandaa kabla ya kuzungumza.
Nikimtizama na kumfuatilia Godbless Lema mjumbe wa kamati kuu ya Chadema nashindwa kuelewa alipitaje na kushinda kuwa Mjumbe wa kamati kuu,sielewi Ni vipi jina lake lilipitishwa ili agombee,sijuwi Ni busara ipi ilitumika kumpendekeza Lena,maana Ni mtu na kiongozi ambaye ingekuwa Ni CCM asingeweza kuwa hata mjumbe wa kamati ya CCM ngazi ya Tawi, maana Lema Ni mtu asiye Hekima Wala busara Hana adabu Wala staha,mdomo wake hauna chujio la kiuongozi,Hana breki Wala nati za kuufung mdomo wake pasipo stahiki kuzungumza,ujasiri wake upo katika ujinga na maneno ya kijinga na karaha mbele za watu wenye busara na hekima,Hana muunganiko mzuri wa ubongo wake na mdomo wake ndio sababu anaweza kuropoka chochote na lolote lile.
Huwezi ukapata chochote Wala maarifa yoyote kutoka kwa Lema ,usije ukathubuti ukamwambia Siri yoyote Ile Lema maana itakuwa Ni sawa na kutamka Jambo Hilo katika makutano ya watu njia panda,maana kesho Ni lazima ataropoka jukwaani au bar.
Leo Lema amerejea kutoka Canada na kuja Tanzania na kuanza kuwatukana watanzania,kuwadhalilisha watanzania, kuwakebehi watanzania,kuwatupia kila aina ya maneno ya kuudhi na kutia hasira, Hii Ni Baada ya kusahau namna vijana anaowatukana leo walivyompigania Arusha,walivyokesha viwanjani ili atolewe gerezani,walivyohatarisha maisha Yao, walivyo pigwa mabomu ya machozi na virungu kwa sababu yake,Amesahau michango alivyokuwa akichangiwa na akina mama wa vicoba bodaboda n.k walivyomsaidia kwa michango Yao ya Hali na Mali kumchangia, lakini leo anasema Ni maskini na wanalaana.
Hili Ni doa kwa chama chote Cha chadema, Ni dharau, Ni kauli ya chama chote Cha chadema kwa kuwa haijajitenga na kauli hii ya mjumbe wake wa kamati kuu.
Imeandikwa Amdhihakiye maskini humsuta muumba wake Na Amhurumiaye maskini humkopesha Mwenyezi MUNGU na atalipwa kwa Jambo Hilo jema, Dharau za Lema kwa watanzania Ni dhihaka kwa Mwenyezi Mungu, Ni dharau kwa muumba ambaye siku zote Tangu Enzi na Enzi Mwenyezi MUNGU amekuwa akiwatazama kwa jicho la huruma na upendo.
Lema na chadema yake watwambie Ni nchi gani isiyo na maskini? Ni Taifa lipi lisilo na maskini? Ni wapi huko? Au kwa kuwa yeye Ameukata na kushiba Kodi zetu kwa miaka yake ya ubunge ndio unamfanya aje atutukane watanzania? Ndio unamfanya ajione mwenye Heri? Mbarikiwa? Kupata Ni Majaliwa ya Mwenyezi MUNGU na anayetoa ridhiki Ni Mwenyezi MUNGU. Sasa kwanini aje kuwatukana watanzania kwa kuwa yeye kapata? Kwanini awaone watoto wa wenziye wanaojihangaikia mitaani kujitafutia ridhiki zao kwa njia Halali kuwa wamelaaniwa? Anajuwa mtoto wake maisha atakayo ishi huko siku za usoni? Anafikiri haa anaosema wamelaaniwa walipenda wawe hivyo? Kwamba Mungu kawalaani watu wake aliowaumbA kwa mfano wake?
Chadema inapaswa imuonye Lema na kumvua nafasi za uongozi alizonazo ndani ya chama kwa matendo yake na kauli zake za kifedhuli na kibuli kwa watanzania,maana nje na hapo itaonekana Ni msimamo wa chama dhidi ya watanzania waliowafikisha hapo walipo ambapo Sasa wamelewa na pesa walizo nazo.
Ni Bora jina Jema kuliko Mali nyingi,Njia ya mpumbavu imenyooka machoni pake pekee, Mali na fedha Ni vya kupita tu, mtu hukumbukwa kwa utu wake na siyo Mali alizo nazo maana hizo si kitu na hupukutika Kama Maua juani.
Msifadhaike mioyoni mwenu Watanzania kwa kauli hizi za ujeuri za chadema maana IPO CCM yenye uchungu na maisha yenu, yenye kujuwa shida na kero zenu, yenye kujuwa kuwa maisha ni hatua, yenye kuhangaika juu ya maisha yenu, yenye kukosa usingizi juu ya changamoto zenu, Tuiamini na kuiunga mkono ituvushe kwa kuwa imeonyesha uwezo wa kiuongozi katika kuwatumikia na kuwaleteeni maendeleo.
Tumuunge mkono Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania na Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo, Tuendelee kumwombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kufunga na kuomba ili mwenyezi Mungu ampiganie na kumlinda Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani, Tumwamini na tumpe ushirikiano wetu wote.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627