Ni aibu kwa CHADEMA, Godbless Lema kuwa Mjumbe wa Kamati yake Kuu ya Taifa, nashauri avuliwe ujumbe haraka sana!

Ndugu
Namna hii ya uandishi utaumia sana na utapoteza muda mwingine kuandika magazeti hayatasaidia.
Hebu jikite kwenye kutafuta pesa usaidie familia yako.
 
Wachaga tunapenda sana hatakama ni mbumbu
 
Lema ndio tegemeo la Chadema na nchi siku zijazo.
 
baada ya nyuz zako za kumsifia mamayenu kudoda akili imekurudi na kuanza kumwandika mwanaume wa shoka aliyetupa kombora dogo la bodaboda nguruwe wote wa ccm mkachanganyikiwa na bado 2025 lazima muwe vichaa maana msipoteuliwa sasa hivi hamtaona uteuz tena wajinga nyinyi.
 
Leo Lema amerejea kutoka Canada na kuja Tanzania na kuanza kuwatukana watanzania,kuwadhalilisha watanzania,kuwakebehi watanzania,kuwatupia kila aina ya maneno ya kuudhi na kutia hasira,
.Kweli, tena kwa kuhadaa. Ati alisema 'hamtukani Raisi na Waziri Mkuu' wengine wote......
powa tu! Hili jamaa ningekuwa na mayai viza angekipata. Nina hasira kweli.
 
Bila Shaka sifa ya kuwa mwana chadema Ni lazima uwe na kinywa kichafu Cha kutukana matusi utafikiri umekatika mishipa ya fahamu Kama ulivyo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…