Ni aibu kwa CHADEMA, Godbless Lema kuwa Mjumbe wa Kamati yake Kuu ya Taifa, nashauri avuliwe ujumbe haraka sana!

Baada ya kuambiwa Mama anapitaga humu? Utaacha sana number za simu
 
Bila Shaka sifa ya kuwa mwana chadema Ni lazima uwe na kinywa kichafu Cha kutukana matusi utafikiri umekatika mishipa ya fahamu Kama ulivyo wewe
Sasa wewe unakaa huko Burigi kwa hiyo hata habari za dunia unategemea kulishwa kwa kusoma Uhuru na Mzalendo huku watu wa Arusha aka A town ndio wako duniani, halafu wao ndio wanamuelewa vyema Lema na kumkubali sana.
Kaa chini kitafakari wewe ni nani kama sio empty head?
 
Hakuna wa kumpigia kura mtu Kama Lema kwa sasa
 
Samia amegundua chiz huwa linamsifia hivyo amekupuuza hata Udas ameona hufai.
 
unafikir kura zinapigwa na familia yako huko lumumba kwa majiz ya kura kamuulize yule mchoma masoko kule Arusha anavyojambajamba.
CCM itapita kwa kishindo katika kila Jimbo,itazoa Kura zote maana Hakuna wa kuwapigia Kura watu Kama nyie msio na muelekeo Wala dira ,Nyie lazima muongozwe tu mtake msitake lazima muongozwe tuu, maana hamna namna Zaid ya hiyo kwa kuwa mkiachwa hivi hivi ni hasara kwanTaifa maana nyie Ni Kama vipofu
 
Samia amegundua chiz huwa linamsifia hivyo amekupuuza hata Udas ameona hufai.
Kasi ya mh Rais imewakata pumzi yenu , watanzania wamewapuuzeni na kuamua kumuunga mkono mh Rais baada ya kutambua kuwa nyie Ni wa kuongozwa tuu,Hakuwezi kupigiwa hata kura nyie na mtanzania mwenye akili timamu ,
 
huku hujui kama wewe mtandao ulishapoteza muda mrefu ndio maana hata mamayenu pamoja na kuandika nyuz ndefu amekupuuza maana amekugundua ni chiz linaandika.
Maandishi yako tu yanaonyesha namna ulivyojikatia Tamaa,Inaonyesha Ni mtu uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako ,unaandika ukiwa na hasira na jazba kubwa Sana ,hata hivyo nakupuuza na kukusamehe maana najuwa bado hujakomaa kiakili japo unaweza ukawa mkubwa kwa mwili na kichwa
 
Pumbaf nenda kawashauri ccm wawatimue wabunge wote hasa wale waliokamatwa na nyara za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…