Kuifaham au kutoifaham ndio kigezo kwao?. Toa hoja ya swali lake, acha mbamba.Labda ww ni katoto ka jana. UNAIFAHAMU VZR ENYIMBA? Tuanzie hapo
Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
Yanga bado mnaumia kutopewa nafasi. Hawawezi kutoa nafasi kwa timu ambayo ni kama imefluck to kuruka nafasi hadi kufikia hapo. Hao Enyimba na Mazembe wakati wako kwenye peak walikuwa na muendelezo mzuri na walifika mbali kwenye MASHINDANO YA KLABU BINGWA kwa hiyo rekodi hizo zipo na zinaheshimiwa.Kiukweli enyimba akustahili kuwepo timu zilizopaswa ziwepo ni hizi hapa Moja adi 8 kwenye hyo draft na kama Moja Hadi 8 kwenye hiyo draft kuna ambao wamejito kushiriki nafasi hilipaswa wapewe wanaowa fuatia yaani hata yanga anavigezo vikubwa vya kushiriki kumshinda enyimba yanga wa 17 enyimba wa 30 na si tumekubaliana tunaangalia top team around 5 years past enyimba kafikaje hapo unabisha nawe njoo na hoja zako tuzipime Tuone ukweli wake povu tu bila ushaidi nitakudunda makwenzi
Weka ushaidi ndugu, wa hivyo vigezo ulivyobainisha. tulikubaliana maneno matupu ayatasikilizwaYanga bado mnaumia kutopewa nafasi. Hawawezi kutoa nafasi kwa timu ambayo ni kama imefluck to kuruka nafasi hadi kufikia hapo. Hao Enyimba na Mazembe wakati wako kwenye peak walikuwa na muendelezo mzuri na walifika mbali kwenye MASHINDANO YA KLABU BINGWA kwa hiyo rekodi hizo zipo na zinaheshimiwa.
Yanga ili muheshimiwe na kuaminiwa inabidi muwe na muendelezo. Sasa wakiwaangalia klabu bingwa hamjaingia hatua ya makundi kwa miaka 25, si afadhali wawafikirie hata Vipers. Tunawasemaga hapa mnaona sisi wajinga au tuna wivu na chuki hamtaki kukubali ukweli.
Pia kumbukeni kwenye hii AFL ya kwanza, wamechukua timu moja kutoka kila ukanda. Sasa hivi wanaumiza kichwa hao Atletico wa Angola wakitolewa itakuwaje ila usishangae Yanga ikaachwa na kupewa nafasi Vipers, AS Vita au hata Power Dynamos. Hapo hapo kuna Algeria bado hawana muwakilishi, Raja, Pyramids.
Vigezo gani unataka? Tafuta historia ya Enyimba, Mazembe na hao wengine mnaowalalamikia halafu linganisha na ya Yanga.Weka ushaidi ndugu, wa hivyo vigezo ulivyobainisha. tulikubaliana maneno matupu ayatasikilizwa
Hivi hapa mkuu naomba unilinganishie wewe vya yanga na vya enyimba then tupe jibuVigezo gani unataka? Tafuta historia ya Enyimba, Mazembe na hao wengine mnaowalalamikia halafu linganisha na ya Yanga.
Kumbuka tena kuwa hii edition ni ya kwanza, hawawezi kuweka timu ambazo hazina solid records halafu waende kuharibu mashindano ikimbize wadhamini ingawa hiyo haimaanishi Yanga asingeweza kutoa ushindani mkubwa kuliko labda Enyimba ila wametumia hizo record kulinda hadhi ya mashindano.
Nimekwambia record za mafanikio yao. Peak yao ya mafanikio Yanga haizigusi hata kwa karibu. Unadhani CAF wakikaa na wadhamini ni profile ya timu zipi ni rahisi kuziuza ili wapate mkwanja, Yanga au Mazembe? Yanga au Raja? Yanga au Enyimba?Hivi hapa mkuu naomba unilinganishie wewe vya yanga na vya enyimba then tupe jibu
Kwan mafanikio si ndio yanayotengeneza point na point c ndio zinatengeneza rank ? Kwa nn enyimba Kawa wa 30 kama yeye anamafanikio zaidi ya hao wa juu kwenye hiyo rank!?Nimekwambia record za mafanikio yao. Peak yao ya mafanikio Yanga haizigusi hata kwa karibu. Unadhani CAF wakikaa na wadhamini ni profile ya timu zipi ni rahisi kuziuza ili wapate mkwanja, Yanga au Mazembe? Yanga au Raja? Yanga au Enyimba?
Kiukweli enyimba akustahili kuwepo timu zilizopaswa ziwepo ni hizi hapa Moja adi 8 kwenye hyo draft na kama Moja Hadi 8 kwenye hiyo draft kuna ambao wamejito kushiriki nafasi hilipaswa wapewe wanaowa fuatia yaani hata yanga anavigezo vikubwa vya kushiriki kumshinda enyimba yanga wa 17 enyimba wa 30 na si tumekubaliana tunaangalia top team around 5 years past enyimba kafikaje hapo unabisha nawe njoo na hoja zako tuzipime Tuone ukweli wake povu tu bila ushaidi nitakudunda makwenzi
Sawa ndugu safi kabisa wewe unaoja hizi ndio ninazozitaka enyimba yupo Nigeria si ndio na Nigeria si hipo ukanda wa west Africa ndugu si ndio????Caf wamegawa timu zenye mafanikio zaidi katika kanda 3…
1. North kuna Al Ahly, Esperance & Wydad
2. Central west region wapo Enyima na Tp Mazembe
3. South East wapo Mamelod, Atletico na Simba.
Sasa niambie katika hao ulitaka nani asiwepo na aingie nani.
Yanga karuka nafasi ngapi kwa msimu mmoja kufika nafasi aliyo sasa?Kwan mafanikio si ndio yanayotengeneza point na point c ndio zinatengeneza rank ? Kwa nn enyimba Kawa wa 30 kama yeye anamafanikio zaidi ya hao wa juu kwenye hiyo rank!?
Sawa ndugu safi kabisa wewe unaoja hizi ndio ninazozitaka enyimba yupo Nigeria si ndio na Nigeria si hipo ukanda wa west Africa ndugu si ndio????
Pia kumbukeni kwenye hii AFL ya kwanza, wamechukua timu moja kutoka kila ukanda. Sasa hivi wanaumiza kichwa hao Atletico wa Angola wakitolewa itakuwaje ila usishangae Yanga ikaachwa na kupewa nafasi Vipers, AS Vita au hata Power Dynamos. Hapo hapo kuna Algeria bado hawana muwakilishi, Raja, Pyramids.
Sikuiona uliyosema wewe kuhusu ukanda basi kama ulisema sawa majaji wamerecord tuendelee hvo hvo na jibu lako la ukanda tukubaliane kwanza enyimba si inatoka Nigeria na Nigeria si hpo ukanda wa west Africa???Kwani mimi sikusema hapo juu kuhusu suala la ukanda? Kuna watu huwa mnanishangaza sana. Jambo nikilisema mimi mnalipuuza, akija kulirudia mwingine sifa kibao.
Sawa ndugu safi kabisa wewe unaoja hizi ndio ninazozitaka enyimba yupo Nigeria si ndio na Nigeria si hipo ukanda wa west Africa ndugu si ndio????
Mkinijibu hizi ndugu zangu tutaendelea na madaSikuiona uliyosema wewe kuhusu ukanda basi kama ulisema sawa majaji wamerecord tuendelee hvo hvo na jibu lako la ukanda tukubaliane kwanza enyimba si inatoka Nigeria na Nigeria si hpo ukanda wa west Africa???
Sijaelewa swali lako. Kama unataka kuwalinganisha na ASEC, angalia mafanikio ya Enyimba kati ya 2003-2021 na yale ya ASEC.Sikuiona uliyosema wewe kuhusu ukanda basi kama ulisema sawa majaji wamerecord tuendelee hvo hvo na jibu lako la ukanda tukubaliane kwanza enyimba si inatoka Nigeria na Nigeria si hpo ukanda wa west Africa???
Kwani kuna kipimo kingine cha mafanikio zaidi ya CAF 5 years ranking?Sijaelewa swali lako. Kama unataka kuwalinganisha na ASEC, angalia mafanikio ya Enyimba kati ya 2003-2021 na yale ya ASEC.
Hapana sitaki kufanya hivo usinilishe maneno nduguSijaelewa swali lako. Kama unataka kuwalinganisha na ASEC, angalia mafanikio ya Enyimba kati ya 2003-2021 na yale ya ASEC.