Ni aibu kwa Clouds TV kutokuelewa vigezo vya African Football League

Hiyo sio source ya uhakika
Aah kumbe wew umeleta link ya Web ya CAF sio? Iyo Wikipedia ni michango ya members wa hiyo web.
Yan kama ukiwa member unaeza fanya editing mule na kutoa michango mbali kwenye data za mule, ila haimaanishi wapo wrong, ila nayo siyo reliable source kwa 100%. Yan reliable source ni CAF wenyewe na web yao na sio hiyo source yako unayotaka tuiamini wewe.
Hutaki endelea kukaza fuvu.
Kwanza uzi ushafungwa huu...
 
Reactions: Tui
Ki ukanda, zingatia hili.
Kila ukanda wa kimpira lazima utoe timu.
Kwani Yanga na Raja au Berkane nani yupo juu?
Umewaona wakilia.
Pale wameangalia timu zenye washabiki tu kila ukanda,ingekua rank enyimba asingeingia,msimu unaofuata timu ya kwanza kuongezwa ni yanga
 
Kuna sehemu nimeongelea kuhusu Yanga? Hoja ni Enyimba kwenye ukanda wake kazidiwa na Asec wewe umesema kuwa kwenye miaka 5 Asec hafurukuti kwa Enyimba kwa mafanikio. Sasa lete hiyo 5 years ranking yako ikionesha Enyimba yupo juu ya Asec.

Yanga hana vigezo mkuu.

Kaacha Raja, kaachwa bingwa wa CAF mwaka huu USM Alger itakuwa yanga??
 
Reactions: Tui
Vigezo na masharti kuzingatiwa.Kuna timu ilijaribu kuingia kimagumashi kwa kumtumia naibu waziri wa michezo ikapewa big NO.
 
Asante mleta uzi,nadhani majibu yamepatikana tayari.ILA kinachoniuma "SISI WAUZA BANDARI" kwa nini timu yetu haipo!
 
Enyimba Enyimba....
Asec wamewatuma kuwasemea??
 
Kwanza watu wakumbuke kuwa lengo la mashindano ni fund raising kwa african clubs

Baada ya hapo, nijuavyo mimi vigezo ni hiv;

1. Timu shiriki lazima ziwe nane tu.

2. Nchi moja isiwe na timu zadi ya moja.

3. Ukanda mmoja usiwe na timu zaidi ya tatu.

4. Timu iwe ni bingwa wa CAFCL kati ya 2015 hadi 2022 (miaka 8)

5. Mafanikio ya club katika 5 years ranking ya CAF.

6. Umaarufu wa club kwenye soka la africa.

Namna timu zilivyopatikana

1. Kigezo namba 4 kilitoa timu tano tu ambazo ni Al ahly, wydad, esperence, mamelo na Tp mazembe.

2. Vigezo namba 2 automatically kilicoincide na kigeno namba 4

3. Ukanda wa kaskazini ulitoa timu 3 (ahly, wydad na esperence) kwa kigezo cha 4 pekee na kubanwa na vigezo vya 2 na 3.

4. Ukanda wa kusini mashariki ulitoa timu 1 kwa kigezo namba 4 (mamelod) na timu moja kwa kigezo namba 5 (simba)

5. Ukanda wa kati magharibi ulitoa timu 1 kwa kigezo cha 4 (mazembe) na timu 1 kwa kigezo cha 5 (petro atletico)

6. Mpaka hapo zikawa timu 7, bado moja, ukiangalia kusini mashariki hakukuwa na timu nyingine iliyokidhi vigezo hivyo ikawa ukanda wa kati magharibi ndio utoe timu ya 8

7. Kwa kuangalia vigezo vyote hivyo kuanzia 1 mpaka 6, kigezo namba 6 kikampa nafasi enyimba na kumuacha horoya.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…