residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Vipo vigezo vya "kibiashara na masoko" hajaviorodhesha.Unaiona Enyimba kwenye hizo criteria?
Enyimba ndiyo yenye mashabiki wengi kwa Nigeria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipo vigezo vya "kibiashara na masoko" hajaviorodhesha.Unaiona Enyimba kwenye hizo criteria?
Uzi ushafungwa hapo juu.... Kinacho endelea ni kukaza fuvu tuKwanini asiwe ASEC Memosas au Rivers?
Aah kumbe wew umeleta link ya Web ya CAF sio? Iyo Wikipedia ni michango ya members wa hiyo web.Hiyo sio source ya uhakika
Pale wameangalia timu zenye washabiki tu kila ukanda,ingekua rank enyimba asingeingia,msimu unaofuata timu ya kwanza kuongezwa ni yangaKi ukanda, zingatia hili.
Kila ukanda wa kimpira lazima utoe timu.
Kwani Yanga na Raja au Berkane nani yupo juu?
Umewaona wakilia.
Enyimba haikuwepo pale in the First place.....Pale wameangalia timu zenye washabiki tu kila ukanda,ingekua rank enyimba asingeingia,msimu unaofuata timu ya kwanza kuongezwa ni yanga
Amna akuna mtu aliyebisha ukanda wa afrika mashariki kuwakilishwa na simba ndugu hoja sio hii nenda kwenye hoja ya ule ukanda kwa Nini ni enyimba na sio wengine uku utakua unapiga marktime tu
Kuna sehemu nimeongelea kuhusu Yanga? Hoja ni Enyimba kwenye ukanda wake kazidiwa na Asec wewe umesema kuwa kwenye miaka 5 Asec hafurukuti kwa Enyimba kwa mafanikio. Sasa lete hiyo 5 years ranking yako ikionesha Enyimba yupo juu ya Asec.
Wewe huna fuvu?Uzi ushafungwa hapo juu.... Kinacho endelea ni kukaza fuvu tu
Yanga hana vigezo vya kushiriki Acha ubishi
Unashida mahara sikumuongelea yanga kuwa na kigezoYanga hana vigezo mkuu.
Kaacha Raja, kaachwa bingwa wa CAF mwaka huu USM Alger itakuwa yanga??
Siko apa kusema Nani alistahili na Nani hakustahili.Unaiona Enyimba kwenye hizo criteria?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni mwalimu ngoja [mention]Mpwayungu [/mention] aje
Kiherehere tu.Nani awatume.Wamezoea kufuatilia visivyowahusu.Enyimba Enyimba....
Asec wamewatuma kuwasemea??
Mimi ndio sijui kama vipoMm sijawahi kusikiliza kabsa