McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Mmeona hii video ambayo Jambo wamepost? Kwa kweli kuharibu sifa ambayo umejitengenezea kwa wananchi ni dakika moja tu.
Wananchi wamepiga spana kwenye comments hadi wameamua kuifuta
Ni wazi kuwa kipindi cha kampeni kwa mujibu wa tume bado hakijaanza. Kwanini Jambo wapost video kama hii? Tukisema chama X kuwa kimeanza kampeni kabla ya wakati tutakuwa tumekosea?