figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam
Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM.
Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani.
Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi, wanakukamata(kuteka) na ndugu wakipiga simu wanakana kukukushikilia.. Baadaye wanakuambia kwanini unaunga mkono vyama vya upinzani? Then wanasema Jiunge CCM tukuachie. Wwala hutakuwa unakuja kuripoti polisi kila siku.