Hakuna ubaya wowote timu kukaa na kuelewana na mchezaji, ni vyema pia timu kutambua mchango wa mchezaji na kuondoa tofauti.Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.
Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla...
Kocha yupi? Au umerogwa wwVipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?
Unaendelea na vichekesho vyako...kwani vile vikao vya wiki mzima na Mayele na viongozi wenu vilikuwa vya nini? Mmebembeleza sana sema yeye alikuwa anawabana kwenye malipo..na alisema ANAPENDA PESA KULIKO YANGA.....Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.
Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla.
Viongozi wanapiga magoti na kulia Lia inafikia hatua wengine wanamwambia chama kuwa "angalia mashabiki wanavyokupenda utawaumiza''
Huu NI upuuzi mchezaji kujiona mungu/malaika na Hili linaletwa na viongozi wasiojitambua na wasiojua Nini maana ya mkataba.
View attachment 2691318
Kwa sasa timu ipo kwenye mazoezi ya viungo ili kurudisha fitness za wachezaji kutoka likizo fupi.Vipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?
Unashindwa kuhoji HabarI za Aziza , Duara , Dada Joyce na nguchilo wako wapi wewe unaanza kupiga madomo kuhoji HabarI za timu isiyo kuhusu. Luc Eymael hakukoseaVipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?