Ni aibu kwa klabu kubwa Kama Simba Sc kupiga magoti na kuanza kubembeleza mchezaji

Ni aibu kwa klabu kubwa Kama Simba Sc kupiga magoti na kuanza kubembeleza mchezaji

Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.

Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla...
Hakuna ubaya wowote timu kukaa na kuelewana na mchezaji, ni vyema pia timu kutambua mchango wa mchezaji na kuondoa tofauti.

Viongozi weledi huchukua maamzi yasiyokuwa na gharama.
 
Nyie mlivo Tuma wazee washirikina kumroga mayele asiondoke, hapo mnaona ni sawa tu
 
Vipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?
Kocha yupi? Au umerogwa ww
 

Attachments

  • 2B193B6D-5CB5-4F06-84D4-1667DFC65906.jpeg
    2B193B6D-5CB5-4F06-84D4-1667DFC65906.jpeg
    66 KB · Views: 1
Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.

Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla.

Viongozi wanapiga magoti na kulia Lia inafikia hatua wengine wanamwambia chama kuwa "angalia mashabiki wanavyokupenda utawaumiza''

Huu NI upuuzi mchezaji kujiona mungu/malaika na Hili linaletwa na viongozi wasiojitambua na wasiojua Nini maana ya mkataba.


View attachment 2691318
Unaendelea na vichekesho vyako...kwani vile vikao vya wiki mzima na Mayele na viongozi wenu vilikuwa vya nini? Mmebembeleza sana sema yeye alikuwa anawabana kwenye malipo..na alisema ANAPENDA PESA KULIKO YANGA.....
 
Mpira ni ajira kama zingine.Kama kuna mambo mwajiriwa anaona hayako sawa kwake ni haki yake kufwatilia hali kadhalika kwa upande wa mwajiri.Tuache ukondoo kwenye mambo tunayoona ni haki yetu kuyapatia ufumbuzi.Unachokileta wewe ni ushabiki mandazi uliopitwa na wakati,wakati hio wewe uko kwenye shughuli zako mambo yanaenda ila kwa wengine unaleta ushabiki mandazi.
 
KIKWETE ASHINDWA KUMBAKISHA MAYELE.

VIONGOZI WA YANGA walipambana kadri walivyoweza wakatumia HADI ushawishi wa RAIS mstafu lakini wapi.
 
Vipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?
Kwa sasa timu ipo kwenye mazoezi ya viungo ili kurudisha fitness za wachezaji kutoka likizo fupi.
Baada ya hapo ndo yataanza mambo ya training kiufundi na kimifumo uwanjani sasa hapo ndo ni muhimu makocha wote wawepo kujua udhaifu wa wachezaji wao kiwanjani katika nyanja tofauti kama vile fitness n.k, na kuwafanyia training zaidi katika eneo aliloonesha/walililoonesha mapungufu.
 
Bangala kasepa.Aziz Ki,Aucho na Diara kamatieni hapohapo,Mungu fundi sana,,😅😂
haaa,,burudaaani kabisa,,,raha sana😅
 
Vipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?
Unashindwa kuhoji HabarI za Aziza , Duara , Dada Joyce na nguchilo wako wapi wewe unaanza kupiga madomo kuhoji HabarI za timu isiyo kuhusu. Luc Eymael hakukosea
 
Back
Top Bottom