Jkmakore
Member
- Jul 6, 2023
- 8
- 9
Hakuna ubaya wowote timu kukaa na kuelewana na mchezaji, ni vyema pia timu kutambua mchango wa mchezaji na kuondoa tofauti.Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.
Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla...
Viongozi weledi huchukua maamzi yasiyokuwa na gharama.