Ni aibu kwa maaskofu uchwara waliochagua kutokemea waouvu kuja kuwaombea msamaha waovu wao

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.

Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.

Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na wachumia tumbo na hawa maaskofu uchwara.

Mahakama imetoa maamuzi. Sasa, kwa mshangao mkubwa, wanajitokeza hawa maaskofu uchwara bila soni nyusoni mwao wala majuto ndani ya mioyo yao na kuliombea msamaha hilo juha.

Natoa rai kwa muheshimiwa Membe ambaye ni kipenzi cha wa-Tanzania, bila ya kupepesa macho, adabisha hilo juha kwa manufaa ya taifa.

Aidha, naomba nitangaze kuanzia leo, sina shirika na maaskofu hawa wanafki na wadhalimu, mwenye enzi Mungu awanyooshe, ili wawe mfano kwa wote wenye kusimamia haki wakachagua udhalimu

Wotee tuombe dua chongeshi na gombeshi. Amen
 
Should I say "aiimeen" or "heleluijaaa"?Amen to that!😜
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…