Ni aibu kwa maaskofu uchwara waliochagua kutokemea waouvu kuja kuwaombea msamaha waovu wao

Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.

Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.

Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na wachumia tumbo na hawa maaskofu uchwara.

Mahakama imetoa maamuzi. Sasa, kwa mshangao mkubwa, wanajitokeza hawa maaskofu uchwara bila soni nyusoni mwao wala majuto ndani ya mioyo yao na kuliombea msamaha hilo juha.

Natoa rai kwa muheshimiwa Membe ambaye ni kipenzi cha wa-Tanzania, bila ya kupepesa macho, adabisha hilo juha kwa manufaa ya taifa.

Aidha, naomba nitangaze kuanzia leo, sina shirika na maaskofu hawa wanafki na wadhalimu, mwenye enzi Mungu awanyooshe, ili wawe mfano kwa wote wenye kusimamia haki wakachagua udhalimu

Wotee tuombe dua chongeshi na gombeshi. Amen
Hapa duniani hakuna cha askofu kila binadamu anajali maslahi yake. Maaskofu gani unawaongelea hawa walioweka utaratibu km hutoi zaka na kushiriki michango ya makanisa yao hawatakuzika? Achana na hawa watu we ongea na Mungu wako direct. Ni wabaguzi, hawajawahi kuwajali watu wa hali ya chini. Hebu tajiri au mtu maarufu afe wataenda kuzika hata maaskofu wanne.

Hii issue ya Musiba ina public interest, maaskofu wanataka publicity hapo waonekane wametatua jambo kubwa km hilo. Pengo alikuwa mfuasi mkubwa wa Magufuli angemkemeaje Musiba zaidi ya kumpongeza? Pengo ni mnafki sana na anazeeka vibaya. Membe mbele kwa mbele, ni watu wengi aliwadhalilisha ila walimsamehe Membe amewawakilisha. Kumsamehe Musiba ni kosa kubwa sana pengine la karne.
 
Mbona walikemea sana maovu au umesahau ule waraka wa KKKT ulivyokemea dhulma za haki mpaka yule jamaa akawachimba mkwara maaskofu huku Dr Shoo akisakamwa mpaka humu jamvini na machawa wa yule jamaa ?
Maaskofu wanafiki ni Gamanywa, Pengo, Gwajima (sijui huyu ni askofu?)
Afadhali hata Kakobe aliyemwambia Jiwe atubu kabla ya kutishiwa kufilisiwa na kufukuzwa nchini
 
Maaskofu walifanya kazi kubwa sana kuushape ule utawala na kwa kiasi kikubwa walidaidia sana.Shida majuha kama ww mnataka Maaskofu wawe activists ndo muelewe.Waliifanya kazi yao quit professionally nawapongeza sana.
Hao maaskofu Gamanywa na Pengo waliuu shape kwa namna gani? Kumfanya jiwe kuwa muuwaji na mtekaji?
 
Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.

Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.

Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na wachumia tumbo na hawa maaskofu uchwara.

Mahakama imetoa maamuzi. Sasa, kwa mshangao mkubwa, wanajitokeza hawa maaskofu uchwara bila soni nyusoni mwao wala majuto ndani ya mioyo yao na kuliombea msamaha hilo juha.

Natoa rai kwa muheshimiwa Membe ambaye ni kipenzi cha wa-Tanzania, bila ya kupepesa macho, adabisha hilo juha kwa manufaa ya taifa.

Aidha, naomba nitangaze kuanzia leo, sina shirika na maaskofu hawa wanafki na wadhalimu, mwenye enzi Mungu awanyooshe, ili wawe mfano kwa wote wenye kusimamia haki wakachagua udhalimu

Wotee tuombe dua chongeshi na gombeshi. Amen
Membe kipenzi cha Watanzania wepi na wanaokaa wapi?
 
Malasusa na Cardinal Pengo wanatuonyesha unafiki wa kiwango cha Dreamliner. Wakati Musiba akitukana wazee wa Taifa hili hawakutokeza hata kumkanya. Hata kumuomba Magufuli aliyekuwa anamtuma amnyamazishe, nashangaa wanamuombea msamaha leo.
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu Yeremia 15:7. Musiba ha wenzie hakutegemea kama DIKTETA MAGUFULI angeweza kufa au kutoka madarakani

Halafu Cardinal wangu ndiyo mnafiki kupindukia. Kuna siku alisema, nanukuu;

"Nashukuru sasa kuna watu ambao wanaweza ku takeover uRais wa Tanzania baada ya Magufuli, kabla sijamuona MAKONDA nilikuwa na wasiwasi sana"

Mwisho wa kunukuu

Mimi nashauri kwa maaskofu wetu ifuatavyo;

Wayachukulie haya yaliyompata Musiba wayaingize kwenye mahubiri yao yale wanafanyaga kanisani.

Hakuna matumizi mengine ya maana ya mtu anaitwa Musiba ambayo yamebakia
 
Back
Top Bottom