saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Hapa duniani hakuna cha askofu kila binadamu anajali maslahi yake. Maaskofu gani unawaongelea hawa walioweka utaratibu km hutoi zaka na kushiriki michango ya makanisa yao hawatakuzika? Achana na hawa watu we ongea na Mungu wako direct. Ni wabaguzi, hawajawahi kuwajali watu wa hali ya chini. Hebu tajiri au mtu maarufu afe wataenda kuzika hata maaskofu wanne.Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.
Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.
Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na wachumia tumbo na hawa maaskofu uchwara.
Mahakama imetoa maamuzi. Sasa, kwa mshangao mkubwa, wanajitokeza hawa maaskofu uchwara bila soni nyusoni mwao wala majuto ndani ya mioyo yao na kuliombea msamaha hilo juha.
Natoa rai kwa muheshimiwa Membe ambaye ni kipenzi cha wa-Tanzania, bila ya kupepesa macho, adabisha hilo juha kwa manufaa ya taifa.
Aidha, naomba nitangaze kuanzia leo, sina shirika na maaskofu hawa wanafki na wadhalimu, mwenye enzi Mungu awanyooshe, ili wawe mfano kwa wote wenye kusimamia haki wakachagua udhalimu
Wotee tuombe dua chongeshi na gombeshi. Amen
Hii issue ya Musiba ina public interest, maaskofu wanataka publicity hapo waonekane wametatua jambo kubwa km hilo. Pengo alikuwa mfuasi mkubwa wa Magufuli angemkemeaje Musiba zaidi ya kumpongeza? Pengo ni mnafki sana na anazeeka vibaya. Membe mbele kwa mbele, ni watu wengi aliwadhalilisha ila walimsamehe Membe amewawakilisha. Kumsamehe Musiba ni kosa kubwa sana pengine la karne.