Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hivi alishaikazia!?Bado Fatma Karume na yeye ana court order
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi alishaikazia!?Bado Fatma Karume na yeye ana court order
Ndhani kwa sheria za Zanzibar, watatoa posa, wamuoeHivi alishaikazia!?
AahaaaaaNdhani kwa sheria za Zanzibar, watatoa posa, wamuoe
UtauaHakika, na zile sadaka tulizozitoa, tuzidai mahakamani
Acha kutukana viongozi wa dini utaadhibiwa na Mungu.Nawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.
Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.
Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na wachumia tumbo na hawa maaskofu uchwara.
Mahakama imetoa maamuzi. Sasa, kwa mshangao mkubwa, wanajitokeza hawa maaskofu uchwara bila soni nyusoni mwao wala majuto ndani ya mioyo yao na kuliombea msamaha hilo juha.
Natoa rai kwa muheshimiwa Membe ambaye ni kipenzi cha wa-Tanzania, bila ya kupepesa macho, adabisha hilo juha kwa manufaa ya taifa.
Aidha, naomba nitangaze kuanzia leo, sina shirika na maaskofu hawa wanafki na wadhalimu, mwenye enzi Mungu awanyooshe, ili wawe mfano kwa wote wenye kusimamia haki wakachagua udhalimu
Wotee tuombe dua chongeshi na gombeshi. Amen
Viongozi WA Dini hususani ukristo ni wanafiki tunaona kipindi cha awamu ya 5 walivyokuwa machawa!Acha kutukana viongozi wa dini utaadhibiwa na Mungu.
Mbona walikemea sana maovu au umesahau ule waraka wa KKKT ulivyokemea dhulma za haki mpaka yule jamaa akawachimba mkwara maaskofu huku Dr Shoo akisakamwa mpaka humu jamvini na machawa wa yule jamaa ?Viongozi WA Dini hususani ukristo ni wanafiki tunaona kipindi cha awamu ya 5 walivyokuwa machawa!
Walishindwa hata na sheikh ponda alikuwa anaongea live live kuwa hakubaliani na matendo ya awamu Ile. Hawa wapuuzi wasiokuwa na akili walikuwa wajinga Tu eti watumishi WA Mungu na walikaa kimya kipindi huyo musiba anamuita MEMBE ni JOKA LA KIBISA. Au umesahau?
Uko sahihi, Hakuna askofu hapa ni wajasilia dini. Ilibidi wajitokeze wakati ule huyu takataka akitenda maovu wamkemee bila woga au kudhuliwa na Magufuli. Leo eti ndiyo wanajitokeza kutetea upendo na msamaha. Bladifaken wajasilia diniNawafokea maaskofu uchwara na viongozi wote wa dini wanafki na wadhalimu kwa jina la mwenye enzi Mungu.
Wakati wa utawala dhalimu wa yule dictator uchwara,,lipo juha moja lilikua likitoka kifua mbele na kutukana watu pasi na hofu yoyote.
Matendo hayo maovu yalifumbiwa macho na kufurahiwa na wachumia tumbo na hawa maaskofu uchwara.
Mahakama imetoa maamuzi. Sasa, kwa mshangao mkubwa, wanajitokeza hawa maaskofu uchwara bila soni nyusoni mwao wala majuto ndani ya mioyo yao na kuliombea msamaha hilo juha.
Natoa rai kwa muheshimiwa Membe ambaye ni kipenzi cha wa-Tanzania, bila ya kupepesa macho, adabisha hilo juha kwa manufaa ya taifa.
Aidha, naomba nitangaze kuanzia leo, sina shirika na maaskofu hawa wanafki na wadhalimu, mwenye enzi Mungu awanyooshe, ili wawe mfano kwa wote wenye kusimamia haki wakachagua udhalimu
Wotee tuombe dua chongeshi na gombeshi. Amen
Sawa, tumekusikia, tunajua wewe ni mchepuko wa pengoMaaskofu walifanya kazi kubwa sana kuushape ule utawala na kwa kiasi kikubwa walidaidia sana.Shida majuha kama ww mnataka Maaskofu wawe activists ndo muelewe.Waliifanya kazi yao quit professionally nawapongeza sana.
toka apaaa ww kazi gani iyo kubwa Zaid ya wizi wa sadaka na mapambio kwa Kiongozi wa maraikaMaaskofu walifanya kazi kubwa sana kuushape ule utawala na kwa kiasi kikubwa walidaidia sana.Shida majuha kama ww mnataka Maaskofu wawe activists ndo muelewe.Waliifanya kazi yao quit professionally nawapongeza sana.
Liambie hilo boyatoka apaaa ww kazi gani iyo kubwa Zaid ya wizi wa sadaka na mapambio kwa Kiongozi wa maraika
Ruwaichi yupo makini sana hakurupuki.Ni maaskofu gani hao usikute ruwaichi yumo nimlime barua ya ki papa
.maasikofu ubwabwa yaani kipindi kile jiwe anakula hadi wake za watu walikaa kimyaaaa kama vile hawapo.