Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
NIni kilitokea kwenye iyo game?kama kuna mtu aliangalia game ya totteham na luton anaweza akasema sisi wa Tanzania bado sana kwenye sheria mpya zinazotoka kila kukicha za mpira
Aibu ipi tena ?Kuna aibu kubwa itakuja soon...
VAR wana camera kila angle tofauti na sisi tuna hiyo angle moja tuSasa kama hakuna goal line technology, refa aliamuaje kuwa lile sio goli wakati sote tunaona mpira ulivuka mstari kwa 100%?
Kwanini hakuamua ni goli ili tusimchallenge?
Bora hata useme wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kuna mtu aliangalia game ya totteham na luton anaweza akasema sisi wa Tanzania bado sana kwenye sheria mpya zinazotoka kila kukicha za mpira
Angalia hiii mtoa madaMpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani .
Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote .
Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa sahihi sana pia ila ni GOAL LINE TECHNOLOGY tu ndio yenye uhakika kwa hapa .
Waziri, Wachambuzi wameconclude moja moja kuwa ni Goli
Yanga nao kwa haraka haraka wamejirizisha ni goal kwa kutumia video na image chache tu
Kulingana na Experts wa VAR Jerome Damon ..“Without GLT (Goal line technology) it’s impossible for VAR to say goal or no goal – one can speculate either way but cannot be 100% sure,” .
Hapa tumekosa
1.Goal line technology kitu ambacho ni muhimu
2.hatuna hata videos ambazo zinaonesha mpira katika pembe tofauti tofauti
View attachment 2956186
Hapa video ya juu ina angle tofauti inaonesha mpira vizuri goli letu halina
View attachment 2956187
Hapa technology imetumika
Na ni bora siasa isiingilie Mpira
Hivi timu ya Yanga pekee ndiyo iliyowahi onewa CAfCL ? Hafu VAR kwenye issue ya Goli line haina msaada sanaMaradona alipofunga bao la kwanza Argentina vs England , World Cup 1986.
Lilikuwa goli la Mkono lakini hakuna aliyethibitisha kwa 100% isipo kuwa yeye kukiri baada ya miaka mingi.
Camera na Picha hadi leo hazikupi asilimia 100 . Wanaboresha miaka na miaka na bado binadamu hajakamilika.
Yanga wametolewa lakini hawajadhulumiwa bali wanadai walifunga goli Dk 59.. mpira ulivuka line kidogo na wanadai goli , refari na VAR wametoa maamuzi haukuvuka goli mpira wote sio goli.
DK ya 59. Je kuna matokeo yapi tata mengineo kabla na baada ya Dk hiyo?
Wao wanadai walinyimwa penalt ns Red Card, Yanga anadai kanyimwa goli.
Sasa kwa ujumla woote mwamuzi wa mwisho kaamua hakuna vyoote hivyo imma yupo sahihi au kakosea. Mpira una mwamuzi ujiandae na maamuzi yake ambayo ni ya mwisho. Simba dhidi ya Al Ahly kanyimwa penalt na Al Ahly kapewa penalt isiyo halali. Tumejifunza hawa wangefungwa kwa Mkapa zaidi ya bao 2. Tungewatoa, tatizo tuna bahatisha na kutaraji huruma wakati mpira kwa sasa ni pesa.. imekuwa vita.
Acha usenge ukiwa unaongelea team yako usilet mambo ya uyanki simba gani maenge tu wewNjoo na hoja ya msingi ya kutushawishi kuwa lile sio goli, maana hata sisi wana Simba tulioangalia ile mechi tuliona lile ni goli kwa 100%, sasa kama kuna hoja ya msingi ya kusema tofauti, tunaingoja kwa hamu ili tuwanange vilivyo utopolo, otherwise wanaSimba wote tutaonekana ni mbumbumbu kukataa sio goli.
Angalia hiyoMpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani .
Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote .
Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa sahihi sana pia ila ni GOAL LINE TECHNOLOGY tu ndio yenye uhakika kwa hapa .
Waziri, Wachambuzi wameconclude moja moja kuwa ni Goli
Yanga nao kwa haraka haraka wamejirizisha ni goal kwa kutumia video na image chache tu
Kulingana na Experts wa VAR Jerome Damon ..“Without GLT (Goal line technology) it’s impossible for VAR to say goal or no goal – one can speculate either way but cannot be 100% sure,” .
Hapa tumekosa
1.Goal line technology kitu ambacho ni muhimu
2.hatuna hata videos ambazo zinaonesha mpira katika pembe tofauti tofauti
View attachment 2956186
Hapa video ya juu ina angle tofauti inaonesha mpira vizuri goli letu halina
View attachment 2956187
Hapa technology imetumika
Na ni bora siasa isiingilie Mpira
Walizoea Magoli ya mkonoNimemsikia Mlevi mmoja wa Clouds Media wa Kuitwa DAKOTA akiutangazia Umma kwamba siku MOTSEPE akija Tanzania tummalize! Nikajisemea this is too much now, ambao hawakuskia hii watafute kipindi cha saa 6 usiku cha Clouds mambo ya Rhumbba.
Yule Naibu Wazir naye kiaziiii hajui hata Diplomacy anaropoka kama anaimba taarabu tuu. Kuna namna ya kuongea kama Kiongozi siyo anatanguliza mihemko na ushabiki mwishowe wanaharibu.
Timu nyingi mno zimeonewa. Hatua za awali ndio kabisa. VAR haina msaada.Hivi timu ya Yanga pekee ndiyo iliyowahi onewa CAfCL ? Hafu VAR kwenye issue ya Goli line haina msaada sana
Kaka ulisoma shule gani hujui hata centimita 30 inafananaje na upo humu??Camera zipo nyingi sana pia VAR haikutumika hata hiyo video iliyopo inaonyesha mpira ulivuka zaidi ya cm 30 kutoka kwenye goal line pengine labda wewe unavideo yako peke yako
Sasa wana yanga tulieni ,Mmekuwa kama watoto wadogoTimu nyingi mno zimeonewa. Hatua za awali ndio kabisa. VAR haina msaada.
Goal technology ndio jawabu. Lakini ni gharama kubwa saana. Uonevu la Yanga cha mtoto. Fuatilia kuanzia mwaka 2000 kija 2023. Caf Champions league na hata Afcon pia. Na huko latin America ni kama sisi tu. Mpira ni pesa na mpira ni siasa.
Hili la kero ndilo la msingi sasaKwa mamlaka niliyokuwa nayo nimeamua lile ni goli......🤣🤣🤣
Asante sana refa......umetunguzia kero kubwa Sana hapa mjini.,...
Yule refa anatakiwa kujengewa sanamu pale msimbazi......katuepusha na mengi sana ya aibu na masimangoHili la kero ndilo la msingi sasa
Wakakate rufaa waache kulialia.Nimemsikia Mlevi mmoja wa Clouds Media wa Kuitwa DAKOTA akiutangazia Umma kwamba siku MOTSEPE akija Tanzania tummalize! Nikajisemea this is too much now, ambao hawakuskia hii watafute kipindi cha saa 6 usiku cha Clouds mambo ya Rhumbba.
Yule Naibu Wazir naye kiaziiii hajui hata Diplomacy anaropoka kama anaimba taarabu tuu. Kuna namna ya kuongea kama Kiongozi siyo anatanguliza mihemko na ushabiki mwishowe wanaharibu.