Ni aibu kwa mwanaume kutumia neno 'mwaya'

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wanaume wa Dsm sasa mmezidi. Inakuwaje mwanaume mzima na midevu yako unatumia neno 'mwaya'?

Utasikia..

Haya mwaya!

Ndiyo mwaya!

Twende mwaya!

Niambie mwaya!

Nini maana ya neno mwaya?

Wanaume wa Daslam badilikeni aisee..
 
Mwanaume kumuita mwanaume mwenzio 'mwaya' ni tatizo, laaabda kwenye mtongozo kwa bidada adi 'my' ntaitumia

washika dau mnisamehee pale napojitahidi kuwa romantic kwa dada zenu
 
Kuna lijamaa humu linanikeraga sana kwa kutumia maneno kama :-
mixxxuu...
fyuuuu...
jomoniiiii...
k...
 
Mwanaume kumuita mwanaume mwenzio 'mwaya' ni tatizo, laaabda kwenye mtongozo kwa bidada adi 'my' ntaitumia

washika dau mnisamehee pale napojitahidi kuwa romantic kwa dada zenu
Da mkuu hiyo Avatar tunafanyaje
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu utasabaisha watu wakufukirie vibaya wallah....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu mimi situmi hilo la mleta mada, natumia hilo nililolitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…